Mapenzi ya kweli yapo

Mapenzi ya kweli yapo

Sasa hapa wamependana kweli[emoji23]
Hizo ni story za kusadikika wanataka;

1 Tall

2 Dark

3 Handsome

4 Mwenye Pesa

5 Anayejua kucare

6 Hamfuatilii

7 Anatuma text za kumjali Asubuhi mchana jioni

8 Mwenye Ubad boy kidogo

9 Vingine vingi hawajui wanavyovitaka


Kiufupi:

KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

NDOA NI WIZI

NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA

KATAA NDOA
 
Hizo ni story za kusadikika wanataka;

1 Tall

2 Dark

3 Handsome

4 Mwenye Pesa

5 Anayejua kucare

6 Hamfuatilii

7 Anatuma text za kumjali Asubuhi mchana jioni

8 Mwenye Ubad boy kidogo

9 Vingine vingi hawajui wanavyovitaka


Kiufupi:

KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

NDOA NI WIZI

NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA

KATAA NDOA
Ukiachana na story ambazo kwa mtazamo wako ni za kusadikika,, huyo Mwamba hapo ni mwana muziki kutokea nchini Uganda na hiyo story nj ya kweli kabisa alihadithia yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom