mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
- Thread starter
- #21
Sio HB, Hana Hela[emoji23] unafanyaje??Mhm!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio HB, Hana Hela[emoji23] unafanyaje??Mhm!
amna hapo unauacha moyo ndo uongee ma kufanya maamuzi, ila ujasiri kama huo mimi sina na siutaki kwanzaKuna shida hapo[emoji23]
wee, sawa lakini amna shida [emoji119]
Mhm[emoji848]yaan sijui ninamfanyaje[emoji23]Sio HB, Hana Hela[emoji23] unafanyaje??
usicheke sasa, shauri yako😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hiki ndo kitendawili hamna mwanamke anaweza jibu[emoji23]Mhm[emoji848]yaan sijui ninamfanyaje[emoji23]
Factor gani sasa na wewe [emoji23]Aisee swali lako Ni ngumu...Kuna factors nitaangalia nikijiridhisha fresh tu
Kabla ya kufanya maamuzi inabidi niulize moyo mara tatu tatu.Hiki ndo kitendawili hamna mwanamke anaweza jibu[emoji23]
Huwenda ana vitu vingine vizuri[emoji23]Kabla ya kufanya maamuzi inabidi niulize moyo mara tatu tatu.
Huwenda ana vitu vingi vizuri
Mfano....Huwenda ana vitu vingine vizuri[emoji23]
[emoji23]umewaza nini mzee....Aiseee,cha ajabu unakuta mke anafika kileleni
Mapenzi ya kweli, akili ya utafutaji, baba bora.Mfano....
Napata matumaini[emoji23] hii sura yangu naijua mwenyewe[emoji23]Mapenzi ya kweli, akili ya utafutaji, baba bora.
Sura [emoji23] tutavumiliana kisha nitamzoea[emoji23]
Maswali gani Tena hayo mkuu 😂😂😂😂una kichwa kigumu sanaFactor gani sasa na wewe [emoji23]
[emoji23] kama jamaa hapo kaoa alafu kaoa tena. Hakuna kinachoshindikana bhana[emoji23]Napata matumaini[emoji23] hii sura yangu naijua mwenyewe[emoji23]
Huendi mbinguniNdo hiyo imemuharibia na sura tayari kwhiyo tunarudi palepale ni sura mbaya
Kwann mkuuu 🤣🤣🤣Wanaume ni wachache sana
IST inasukuma SCANIA