Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, mpenzi niliyenaye yuko safari takribani mwaka sasa na tuko vizuri.Ni kwel wew unawez ukawa na mahusiano kwa aliekuambali🏃🏃
Waooooow🫢🫢🫢 jmn ni kwel yupo mbal bas nvizur kua hivy hivyo jmnNdio, mpenzi niliyenaye yuko safari takribani mwaka sasa na tuko vizuri.
actually yatadumu kama kila mtu atajifanya mjinga kwa mwenzieHivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷.
Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani