long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya marafiki na ndugu, ila ulaya,unaweza kuwa kichaa.very very lonely ukichanganya na ugumu wa maisha ndio usiseme
hiyo mutu inayoitwa nigerian achanao nao kabisa, sio hata wa kuwa discuss hapa jf
long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya marafiki na ndugu, ila ulaya,unaweza kuwa kichaa.very very lonely ukichanganya na ugumu wa maisha ndio usiseme
uwiiii bora wewe umesema mimi nilitaka kuweuka kabisa, sitaki kusikia hii kitu tena
uwiiii bora wewe umesema mimi nilitaka kuweuka kabisa, sitaki kusikia hii kitu tena
Don't try this at home! Sumu! Mimi nimevumilia na imelipa!mnh pole..
tafuta wa 'kukupunguzia stress' hapo ulipo..:becky::A S 8:
huyo wa bongo ni sawa na hayupo
akikamatwa na wajanja imekula kwako...
hakuna sabstitute ya kuchinja kobe kama unahitaji lazima upate hata ukiwekewa video conference cha muhimu ni kusuguana tu ni sawa na usingizi hauna dawa umesikia wapi mtu anasikia usingizi au njaa halafu anacheza mpira ili usingizi au njaa itoke hiyo ndio sawa sawa na ngonoIyo mapenzi ya masafa marefu ni adhabu tu, yanaweza kudumu kwa muda mfupi, sio zaidi ya mwaka baada ya hapo tena kwa kweli yanafifia na vishawishi vya kudanganya vinachukua nafasi, hata hivyo kuna mambo mawili matatu yanayoweza angalau kuyapa uhai hayo mapenzi:
1. Keep yourself busy itapunguza distraction.
2. Mawasiliano muhimu, mpatie mpenzio Bongo laptop na broadband connection ili muwe mna video link kila siku kwa Skype nk, ni nafuu kuliko kutumia cheap calling cards na munapoonana uso kwa uso mtandaoni inasaidia sababu asiekuwepo usoni na machoni hayupo.
3. Jaribu ku-socialize kusukuma siku na kupunguza stress ila chunga sana na social scenes za kibongo, zitakuchochea kumtosa mwenzio kule bongo.
heri wewe umesema ndugu yangu....halafu hizi ajira za kupewa cheo na uhamisho bila kujali una familia zina tesa sana....imagine mume yupo kigoma mke yupo tunduru....tutapona kweli?kuonana june na december.....du!