hivi mfano mtu umesafiri kama miaka miwili hivi halafu ukarudi kwa mpenzi wako(long distance lover) na ulikuwa unakula ng'adu kwa ng'adu je inabidi utumie pembejeo (mpira) au unaendelea kujilipua?penye nia pana njia ........kaza buti.
katika upande mwengine wa coin ............long distance relationship ina raha yake hasa kama mnauwezo wa kukutana kila baada ya miezi miwili au mitatu.....kila mkikutana mko kwenye honeymoon!
hivi mfano mtu umesafiri kama miaka miwili hivi halafu ukarudi kwa mpenzi wako(long distance lover) na ulikuwa unakula ng'adu kwa ng'adu je inabidi utumie pembejeo (mpira) au unaendelea kujilipua?
penye nia pana njia ........kaza buti.
katika upande mwengine wa coin ............long distance relationship ina raha yake hasa kama mnauwezo wa kukutana kila baada ya miezi miwili au mitatu.....kila mkikutana mko kwenye honeymoon!
msinikumbushe upweke unaosababishwa na hii kitu,mtu unalia bila hata kupigwa kwa kum-miss mwenzio,thanks God yamepita tuko karibu tena.
Jichanganye, maana hata mwezio anajichanganya wewe hujui tu!
Huo moyo pamoja na uvumilivu wake not so practical.
penye nia pana njia ........kaza buti.
katika upande mwengine wa coin ............long distance relationship ina raha yake hasa kama mnauwezo wa kukutana kila baada ya miezi miwili au mitatu.....kila mkikutana mko kwenye honeymoon!
jana sunday nzima nilijifungia chumbani nalia, mshkaji anapiga simu nikasusa hata na kupokea simu zake,maana kila nikisikia sauti ndio nazidi kuchananyikiwa,ikabidi niingie jf nibadilishane mawazo na members ili nione kama nina followersmsinikumbushe upweke unaosababishwa na hii kitu,mtu unalia bila hata kupigwa kwa kum-miss mwenzio,thanks God yamepita tuko karibu tena.
long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya marafiki na ndugu, ila ulaya,unaweza kuwa kichaa.very very lonely ukichanganya na ugumu wa maisha ndio usiseme
Iyo mapenzi ya masafa marefu ni adhabu tu, yanaweza kudumu kwa muda mfupi, sio zaidi ya mwaka baada ya hapo tena kwa kweli yanafifia na vishawishi vya kudanganya vinachukua nafasi, hata hivyo kuna mambo mawili matatu yanayoweza angalau kuyapa uhai hayo mapenzi:
1. Keep yourself busy itapunguza distraction.
2. Mawasiliano muhimu, mpatie mpenzio Bongo laptop na broadband connection ili muwe mna video link kila siku kwa Skype nk, ni nafuu kuliko kutumia cheap calling cards na munapoonana uso kwa uso mtandaoni inasaidia sababu asiekuwepo machoni na moyoni hayupo.
3. Jaribu ku-socialize kusukuma siku na kupunguza stress ila chunga sana na social scenes za kibongo, zitakuchochea kumtosa mwenzio kule bongo.
mmmhh, una mambo we caren, hivi we ni she au he?Inategemea pia na location ambayo upo an kila location ina raha yake.
Kama uko america go for the Puerto Ricans, Latino, Haitians and Mexicans. Usitafute wale walio sexy saaana na wembamba au wenye shape maana hao ni hotcake na mara nyingi wanamahusiano na drug lords. Tafuta wale walio oversize (Size 50 n plus). Hawakwa kuwa wana obesity huwa hawana competition sana na ni rahisi kupata sehemu ya kuchuja. Hata wamarekani weusi waweza wapata ila be careeful ni wajanja sana kwa kutegeshea mimba ili ubaki nao na wewe sidhani kama utakubali wakati una kitu cha maana bongo.
Ukiwa UK na ulaya go for migrants. hawa mara nyingi hawana uhakika na life na wanatoka familia masikini huku Africa. Hata kama wako ulaya jua life yao ni kama ukiwa bongo unaongelea manzese fulani, tandika etc. so go for congolese, sirea leones, Haitians.
Ukiwa Asia go fro the Nepalese, Vietnamese na wabangladeshi.
Ukijaribu hizo race nilizokutajia i can assure you utakamua mara nyingi ulaya na huwezi kuishi mpweke. ila i caution you just do it for sex n nothing more.
Follow these rules:
1. Ukija Bongo dont ever mention kuwa ulishawahi kutafuta gemu kwa size 50. Fanya siri yako na usiwaambie hata best friends wako (my husband alikuja kuniambia after 4 years tena akiwa amelewa).
2. Usichunguze mwenzio nani alimmega in your absence. Just begin life kama vile yuko intact.
Du hii kaliInategemea pia na location ambayo upo an kila location ina raha yake.