mapenzi ya mbali

mapenzi ya mbali

penye nia pana njia ........kaza buti.

katika upande mwengine wa coin ............long distance relationship ina raha yake hasa kama mnauwezo wa kukutana kila baada ya miezi miwili au mitatu.....kila mkikutana mko kwenye honeymoon!
hivi mfano mtu umesafiri kama miaka miwili hivi halafu ukarudi kwa mpenzi wako(long distance lover) na ulikuwa unakula ng'adu kwa ng'adu je inabidi utumie pembejeo (mpira) au unaendelea kujilipua?
 
hapo kaka sijui INATAKIWA iweje.....................

lkn nafikiri ungejitazama wewe kwanza..........kama ulikaa miaka miwili bila ya kuonja basi na mwenzio unaamini kuwa nae hivyo hivyo, kwa hiyo kavu poa tu.

lakini kama wewe hukuweza kustahamili basi na mwenzio hakuweza vile vile, kapimeni kwanza ndio iwe kavu kavu 🙂
 
hivi mfano mtu umesafiri kama miaka miwili hivi halafu ukarudi kwa mpenzi wako(long distance lover) na ulikuwa unakula ng'adu kwa ng'adu je inabidi utumie pembejeo (mpira) au unaendelea kujilipua?

hivi unajua hili swali ni la muhimu sana
 
msinikumbushe upweke unaosababishwa na hii kitu,mtu unalia bila hata kupigwa kwa kum-miss mwenzio,thanks God yamepita tuko karibu tena.
 
penye nia pana njia ........kaza buti.

katika upande mwengine wa coin ............long distance relationship ina raha yake hasa kama mnauwezo wa kukutana kila baada ya miezi miwili au mitatu.....kila mkikutana mko kwenye honeymoon!

Gaijin kama pesa ipo mtu waweza kufanya hivyo lakini kwa hali zetu ukishaenda mbali mpaka kuja kurudi ni lazima ujipange hasa ndugu yangu. But long distance kama usemavyo inaraha yake kama mtakuwa mnaonana baada ya kipindi kifupi, otherwise ni shida tupu.
 
Hii topic imenigusa sana, yani mimi binafsi nimekoma sirudii tena, kama ndo shule ikishaisha hii basi tena sitorudia tena kuwa mbali na mwenzangu ni mateso makubwa, sometime ukiwa kwa room unahisi kuchanganyikiwa kabisa jamani watu wasikie tu yuko abroad anakula shule but shida tuipatayo huku kipsychologia ni mateso sana, Nimekoma mie uh!
 
msinikumbushe upweke unaosababishwa na hii kitu,mtu unalia bila hata kupigwa kwa kum-miss mwenzio,thanks God yamepita tuko karibu tena.

Hongera cheusi mwenzako bado niko matesoni but soon it will be over, lakini cha moto nimekiona.
 
pole ndugu lakini usikate tamaa, endelea kujipa moyo na wala usiogope. huwezi kuacha kujitafutia maisha kisa tu fimbo ya mbali.
 
Jichanganye, maana hata mwezio anajichanganya wewe hujui tu!

Huo moyo pamoja na uvumilivu wake not so practical.
 
Mawazo ya watu wasio waaminifu kuhalalisha tabia zao
 
penye nia pana njia ........kaza buti.

katika upande mwengine wa coin ............long distance relationship ina raha yake hasa kama mnauwezo wa kukutana kila baada ya miezi miwili au mitatu.....kila mkikutana mko kwenye honeymoon!

hapo kwenye wekundu ndio penyewe, raha yake ni hiyo tu,ila kwa maswala mengine ni maumivu, kama last two weeks tulikuwa tunajiandaa tukutane somewhere kwa honeymoon,safari ilikuwa mchana jmosi, ijumaa usiku baba mkwe amefariki,ikabidi vacation iishe
 
msinikumbushe upweke unaosababishwa na hii kitu,mtu unalia bila hata kupigwa kwa kum-miss mwenzio,thanks God yamepita tuko karibu tena.
jana sunday nzima nilijifungia chumbani nalia, mshkaji anapiga simu nikasusa hata na kupokea simu zake,maana kila nikisikia sauti ndio nazidi kuchananyikiwa,ikabidi niingie jf nibadilishane mawazo na members ili nione kama nina followers
 
long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya marafiki na ndugu, ila ulaya,unaweza kuwa kichaa.very very lonely ukichanganya na ugumu wa maisha ndio usiseme

To say "long distance" relationship ina maana ni umbali wa kilomita ngapi? Na ni kwa muda gani? What kind of relationship you are talking about? Blood relationship, or sexual relationship? If the latter, then kisayansi na kisaikolojia, na katika hali ya kawaida, mwanamke na mwanaume ana uwezo wa kukaa muda gani bila kupata hiyo? Naamini utakuwa umeeleweka kwa walio wengi.
 
Acheni bwana, mimi hapa na miezi sita tabu tupu! Najaribu kujichanganya facebook, JF hapa mara veryquit lakini wapi! napata tabu sana, its all about life partner ni muhimu sana jamani ni zaidi ya just having sex and leave. Hapa relationship ya namna yoyote ile kwa umpendaye inakuwa inauma sana.
Wakati naondoka nililia jamani hadi mitaa ya Ethiopia kuelekea Doha ndo nikajishtukia mhhh sasa niko pekee yangu inabidi kukaza boot. But it pains alot.
 
Inategemea pia na location ambayo upo an kila location ina raha yake.
Kama uko america go for the Puerto Ricans, Latino, Haitians and Mexicans. Usitafute wale walio sexy saaana na wembamba au wenye shape maana hao ni hotcake na mara nyingi wanamahusiano na drug lords. Tafuta wale walio oversize (Size 50 n plus). Hawakwa kuwa wana obesity huwa hawana competition sana na ni rahisi kupata sehemu ya kuchuja. Hata wamarekani weusi waweza wapata ila be careeful ni wajanja sana kwa kutegeshea mimba ili ubaki nao na wewe sidhani kama utakubali wakati una kitu cha maana bongo.

Ukiwa UK na ulaya go for migrants. hawa mara nyingi hawana uhakika na life na wanatoka familia masikini huku Africa. Hata kama wako ulaya jua life yao ni kama ukiwa bongo unaongelea manzese fulani, tandika etc. so go for congolese, sirea leones, Haitians.

Ukiwa Asia go fro the Nepalese, Vietnamese na wabangladeshi.

Ukijaribu hizo race nilizokutajia i can assure you utakamua mara nyingi ulaya na huwezi kuishi mpweke. ila i caution you just do it for sex n nothing more.

Follow these rules:

1. Ukija Bongo dont ever mention kuwa ulishawahi kutafuta gemu kwa size 50. Fanya siri yako na usiwaambie hata best friends wako (my husband alikuja kuniambia after 4 years tena akiwa amelewa).
2. Usichunguze mwenzio nani alimmega in your absence. Just begin life kama vile yuko intact.

Iyo mapenzi ya masafa marefu ni adhabu tu, yanaweza kudumu kwa muda mfupi, sio zaidi ya mwaka baada ya hapo tena kwa kweli yanafifia na vishawishi vya kudanganya vinachukua nafasi, hata hivyo kuna mambo mawili matatu yanayoweza angalau kuyapa uhai hayo mapenzi:
1. Keep yourself busy itapunguza distraction.
2. Mawasiliano muhimu, mpatie mpenzio Bongo laptop na broadband connection ili muwe mna video link kila siku kwa Skype nk, ni nafuu kuliko kutumia cheap calling cards na munapoonana uso kwa uso mtandaoni inasaidia sababu asiekuwepo machoni na moyoni hayupo.
3. Jaribu ku-socialize kusukuma siku na kupunguza stress ila chunga sana na social scenes za kibongo, zitakuchochea kumtosa mwenzio kule bongo.
 
Inategemea pia na location ambayo upo an kila location ina raha yake.
Kama uko america go for the Puerto Ricans, Latino, Haitians and Mexicans. Usitafute wale walio sexy saaana na wembamba au wenye shape maana hao ni hotcake na mara nyingi wanamahusiano na drug lords. Tafuta wale walio oversize (Size 50 n plus). Hawakwa kuwa wana obesity huwa hawana competition sana na ni rahisi kupata sehemu ya kuchuja. Hata wamarekani weusi waweza wapata ila be careeful ni wajanja sana kwa kutegeshea mimba ili ubaki nao na wewe sidhani kama utakubali wakati una kitu cha maana bongo.

Ukiwa UK na ulaya go for migrants. hawa mara nyingi hawana uhakika na life na wanatoka familia masikini huku Africa. Hata kama wako ulaya jua life yao ni kama ukiwa bongo unaongelea manzese fulani, tandika etc. so go for congolese, sirea leones, Haitians.

Ukiwa Asia go fro the Nepalese, Vietnamese na wabangladeshi.

Ukijaribu hizo race nilizokutajia i can assure you utakamua mara nyingi ulaya na huwezi kuishi mpweke. ila i caution you just do it for sex n nothing more.

Follow these rules:

1. Ukija Bongo dont ever mention kuwa ulishawahi kutafuta gemu kwa size 50. Fanya siri yako na usiwaambie hata best friends wako (my husband alikuja kuniambia after 4 years tena akiwa amelewa).
2. Usichunguze mwenzio nani alimmega in your absence. Just begin life kama vile yuko intact.
mmmhh, una mambo we caren, hivi we ni she au he?
 
Sio Long distance relationships zote does not work kuna zingine works. Muhimu ni communication na Trust thats all you need. Long distance relationship inawezekana kabisa ipo mifano tumeiona na imelipa big time.
 
Inategemea pia na location ambayo upo an kila location ina raha yake.
Kama uko america go for the Puerto Ricans, Latino, Haitians and Mexicans. Usitafute wale walio sexy saaana na wembamba au wenye shape maana hao ni hotcake na mara nyingi wanamahusiano na drug lords. Tafuta wale walio oversize (Size 50 n plus). Hawakwa kuwa wana obesity huwa hawana competition sana na ni rahisi kupata sehemu ya kuchuja. Hata wamarekani weusi waweza wapata ila be careeful ni wajanja sana kwa kutegeshea mimba ili ubaki nao na wewe sidhani kama utakubali wakati una kitu cha maana bongo.

Ukiwa UK na ulaya go for migrants. hawa mara nyingi hawana uhakika na life na wanatoka familia masikini huku Africa. Hata kama wako ulaya jua life yao ni kama ukiwa bongo unaongelea manzese fulani, tandika etc. so go for congolese, sirea leones, Haitians.

Ukiwa Asia go fro the Nepalese, Vietnamese na wabangladeshi.

Ukijaribu hizo race nilizokutajia i can assure you utakamua mara nyingi ulaya na huwezi kuishi mpweke. ila i caution you just do it for sex n nothing more.

Follow these rules:

1. Ukija Bongo dont ever mention kuwa ulishawahi kutafuta gemu kwa size 50. Fanya siri yako na usiwaambie hata best friends wako (my husband alikuja kuniambia after 4 years tena akiwa amelewa).
2. Usichunguze mwenzio nani alimmega in your absence. Just begin life kama vile yuko intact.
Du hii kali
 
Back
Top Bottom