tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Yana maisha marefu kama ya nzi!Huwa inatokea watu wanakuwa wapenzi kwa kujilazimisha/kuhofu asipokubali itakuwaje. 1.Chukulia mfano, dada aliye katika matatizo makubwa, mkaka akatokea akamsaidia kwa kila hali 2. Chukulia watu waliosoma pamoja/waliishi mtaa mmoja, leo wanakutana mbali baada ya miaka mingi. Siku zote mapenzi ya ningefanyeje huendana na utetezi wa "Mungu ametupangia", je mapenzi ya "ningefanyeje" yasiyo na option ya kukataa nayo ni mapenzi ya kweli? Nawasilisha
Yana maisha marefu kama ya nzi!!!!Huwa inatokea watu wanakuwa wapenzi kwa kujilazimisha/kuhofu asipokubali itakuwaje. 1.Chukulia mfano, dada aliye katika matatizo makubwa, mkaka akatokea akamsaidia kwa kila hali 2. Chukulia watu waliosoma pamoja/waliishi mtaa mmoja, leo wanakutana mbali baada ya miaka mingi. Siku zote mapenzi ya ningefanyeje huendana na utetezi wa "Mungu ametupangia", je mapenzi ya "ningefanyeje" yasiyo na option ya kukataa nayo ni mapenzi ya kweli? Nawasilisha
Huwa inatokea watu wanakuwa wapenzi kwa kujilazimisha/kuhofu asipokubali itakuwaje. 1.Chukulia mfano, dada aliye katika matatizo makubwa, mkaka akatokea akamsaidia kwa kila hali 2. Chukulia watu waliosoma pamoja/waliishi mtaa mmoja, leo wanakutana mbali baada ya miaka mingi. Siku zote mapenzi ya ningefanyeje huendana na utetezi wa "Mungu ametupangia", je mapenzi ya "ningefanyeje" yasiyo na option ya kukataa nayo ni mapenzi ya kweli? Nawasilisha
Mkuu hii logic ya wapiHayo ndo mapenzi ya kweli kwa kuwa yana sababu ya msingi ambayo ndo hiyo inamfanya mpendwaji aseme "ningefanyaje"
Wengi wa hivyo ni kama wale walopeana mimba wakalazimika kuoana - ikitokea mmoja akamiss behave mwenzake humkumbusha walikotoka.