Mapenzi ya nini?

Mapenzi ya nini?

Nijali nikujali,nipende nikuheshimu,umemind flag karibu tuipeperushe.

Kama ni black ni black,hakuna blackwhite.

Very simple
Ngoja nitafute hela Kwanza,,maana mleta mada asichokijua ni kwamba haiwezekani ukawa na hela alafu mrembo asitoe kipochi manyoya .Hapo bibie anamfundisha atafute hela 'k' ipo tu inamsubiri
 
Ngoja nitafute hela Kwanza,,maana mleta mada asichokijua ni kwamba haiwezekani ukawa na hela alafu mrembo asitoe kipochi manyoya .Hapo bibie anamfundisha atafute hela 'k' ipo tu inamsubiri
Kuna kitu ambacho ni kigumu kikikubali.

SH hakuna ugonjwa mbaya kama wa kukosa pesa.jamani hauheshimiki💔💔hakuna mtu atakusikiliza aise.

Sasa kinachotokea unaweza kukubali Kwa dhati kuwa na huyo asiye na pesa ukijua mwenzangu ataendelea kunipenda hata akija kupata pesa.

Sasa ngoja apate pesa💔💔💔hutajua hujui.

Tafuten pesa jamani msitulaumu kuwa tunapenda pesa.
 
Akuna kitu kibaya kama kukosa pesa yaani utaangaika Sana
 
Mapenzi ya miaka hii ni full stress , unakuta umemtongoza binti amekukubali vzuri, ila kutoa mbususu hataki, ukimwambia nikuoe hataki , basi tuachane napo hataki sijui huwa wanataka nn?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mapenzi ya miaka hii ni full stress , unakuta umemtongoza binti amekukubali vzuri, ila kutoa mbususu hataki, ukimwambia nikuoe hataki , basi tuachane napo hataki sijui huwa wanataka nn?
Raha ya mapenzi uwe na pesa tu[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom