Mapenzi ya Sekondari – Sweeter Than Sweeter!

Mapenzi ya Sekondari – Sweeter Than Sweeter!

kipindi hicho nilikuwa nikiandika barua kwenye zile special papers....!

nilikuwa niki weka poda na marashi kwenye barua....

niliandika sana nyimbo za kina judy boucher.....!

hakika mapenzi yalikuwa zamani..
 
Hahahahahaha. Muhanga uminichekesha. Viranja wanafungua disko na wimbo wa elton john sacrify au keith sweat twisted. baada ya hapo vurugu inaanza. Mkuu Teamo Judy Boucher nilikuwa nimeshamsahau- hahahahahaha. unajidai umemshika msichana kiunoni alafu unashusha mikono kidogo asiposema kitu unashusha zaidi. LOL

Siku hizi text na emails. the next day umeombwa vocha.
 
ok lakini kwa walio wachache wametoka sec hawajadu hata one day je na hao utasema vp?
 
Back
Top Bottom