Mapenzi ya Vera na Otile (ua jeusi limepitamo)

Kungwi Mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
796
Reaction score
776
Hayo ndo yalojiri jana usiku baina ya queen vee na mwanamziki otile..
 

Attachments

  • Screenshot_2018-10-28-01-20-39.png
    141.4 KB · Views: 45
  • Screenshot_2018-10-28-01-20-58.png
    152.9 KB · Views: 44
Hayo ndo yalojiri jana usiku baina ya queen vee na mwanamziki otile..
i have been living in nairobi for a while jamani wanawake wa kenya wana rohombaya ngumu wanapenda pesa kuliko wallet yaani wananchi wa kenya ni maskin saaana watu wachache wana pesa tena pesa kweli mfano kenyatta yaani mali nyingi building karibia zote nairobi zinamilikiwa na kenyatta family
naamini mwanamke anakuwa na roho ngumu kutokana na umaskini anaopitia sio kabila wala nini but kenyan woman hapana sijawahi ona before
 
Nasikia bwana wanapiga hadi wanaume
 
Wakenya cha mtoto hujakutana na mwanamke wa Kizimbabwe.

Hawa dada zetu ni wazuri saana wa tabia ukiwalinganisha na hii miwatu. Wazimbabwe hapana halafu hakuna mzuri sasa.
 
Madem kama Vera ni wakugonga na kusepa, uking'ang'ania sana, unakunywa sumu UNAKUFA.
 
Wakenya cha mtoto hujakutana na mwanamke wa Kizimbabwe.

Hawa dada zetu ni wazuri saana wa tabia ukiwalinganisha na hii miwatu. Wazimbabwe hapana halafu hakuna mzuri sasa.
raia wengi wa kenya ni maskini saana yaani ni maskini matajiri ni wachache afu ni matajiri kweli siunajua ile nchi kila kitu ni fre ilimradi uwe na pesa
 
Nasikia bwana wanapiga hadi wanaume
katika maisha kitu kinachofanya mtu awe na moyo mgumu na roho mbaya ni hard knocl life aliyopitia nyuma achana na mademu wa kenya mwanangu haasa wale wakikuyu man achana nao kabisa afu kingine mademu wa kenya ni wachafu wenyewe ni toilet paper hawajui maji ni hatari kwa afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…