Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana my dearUbinafsi ni chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano mengi.
Tumalizie jitu jeusikwahiyo?
i have been living in nairobi for a while jamani wanawake wa kenya wana rohombaya ngumu wanapenda pesa kuliko wallet yaani wananchi wa kenya ni maskin saaana watu wachache wana pesa tena pesa kweli mfano kenyatta yaani mali nyingi building karibia zote nairobi zinamilikiwa na kenyatta familyHayo ndo yalojiri jana usiku baina ya queen vee na mwanamziki otile..
Ubinafsi ni chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano mengi.
Nasikia bwana wanapiga hadi wanaumei have been living in nairobi for a while jamani wanawake wa kenya wana rohombaya ngumu wanapenda pesa kuliko wallet yaani wananchi wa kenya ni maskin saaana watu wachache wana pesa tena pesa kweli mfano kenyatta yaani mali nyingi building karibia zote nairobi zinamilikiwa na kenyatta family
naamini mwanamke anakuwa na roho ngumu kutokana na umaskini anaopitia sio kabila wala nini but kenyan woman hapana sijawahi ona before
Wakenya cha mtoto hujakutana na mwanamke wa Kizimbabwe.i have been living in nairobi for a while jamani wanawake wa kenya wana rohombaya ngumu wanapenda pesa kuliko wallet yaani wananchi wa kenya ni maskin saaana watu wachache wana pesa tena pesa kweli mfano kenyatta yaani mali nyingi building karibia zote nairobi zinamilikiwa na kenyatta family
naamini mwanamke anakuwa na roho ngumu kutokana na umaskini anaopitia sio kabila wala nini but kenyan woman hapana sijawahi ona before
raia wengi wa kenya ni maskini saana yaani ni maskini matajiri ni wachache afu ni matajiri kweli siunajua ile nchi kila kitu ni fre ilimradi uwe na pesaWakenya cha mtoto hujakutana na mwanamke wa Kizimbabwe.
Hawa dada zetu ni wazuri saana wa tabia ukiwalinganisha na hii miwatu. Wazimbabwe hapana halafu hakuna mzuri sasa.
katika maisha kitu kinachofanya mtu awe na moyo mgumu na roho mbaya ni hard knocl life aliyopitia nyuma achana na mademu wa kenya mwanangu haasa wale wakikuyu man achana nao kabisa afu kingine mademu wa kenya ni wachafu wenyewe ni toilet paper hawajui maji ni hatari kwa afyaNasikia bwana wanapiga hadi wanaume