Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
- Thread starter
- #41
Fact 100% true ila yani wanajitambua haswa na wengine siyo kwamba eti ni single mama hapana wana waume zao sema wana tafuta furaha na enjoyment tu kutoka na hali halisi ya ndoa zaoNilichogundua ni kua wadada wengi wakishagonga 30+ na hasa ukute ameshazalishwa mtoto 1 au wawili, hua kuna mabadiliko makubwa yanatokea kwenye akili zao:
1. Ile akili ya kutaka sana kuolewa ambayo huwafanya wadada ku pretend kupita kiasi ktk mahusiano hua inaanza kupotea. Hivyo mdada wa umri huu anapoingia ktk mahusiano, lengo lake linakua ku enjoy shoo tu kwahiyo wanajiachia vilivyo. Ndio maana ni rahisi sana kuwakojoza hawa!
2. Umri huu mdada ameshajitambua, anaujua mwili wake, anajua nini akifanyiwa anafurahi na anajua kujisafi vizuri. Pia hapa ameshajijua kwamba yeye ni wa kawaida tu (sio mzuri kama alivyokua akidanganywa) kwahiyo hata kujiremba saana wanaona sio ishu, kwanza huo muda hana. Umri huu wengi utakuta hata nywele wananyoa fupi, hawaweki madawa sijui mavipodozi mengi. Hivyo wanakua natural na ule utamu wa asili unarudi.
3. Wengi wanakua wapambanaji maana tayari ana familia so atahangaika kutafuta hela zake kwa kufanya kazi au biashara ili aweze kulisha watoto, kodi, ada za shule nk. Hivyo hawanaga mizinga ya ajabu ajabu. Akiwa na shida serious atakuambia kabisa hapa nimekwama hebu angalia katika hii laki nane unaweza kunisaidia ngapi? Kama huna pia anakuelewa anaangalia option zingine maana ameshayajua maisha.
4. Wanajua mapenzi kutokana na uzoefu. Mdada wa above 30 ameshakutana na kila aina ya wanaume tangu akiwa sekondari mpaka leo. Anajua jinsi ya ku deal na aina/size tofauti za mashine, anajua mashine ikilala aiamshe vipi, miguno gani inahamasisha, style zipi zinapagawisha nk.
5. Ukiweza kwenda nae vizuri, huwa wanatulia sana sio watu wa kuruka ruka. Pia sio wasumbufu, ukiwa na hamu ni kiasi cha kumpigia tu bana vipi, uko free? Utasikia.. "yaa, tukutane wapi?" Au "daah.. saa izi kuna sehemu nimepeleka mzigo, ila kwenye saa nane ntakua nimesharudi, ntakucheki" Hawana longolongo.
Sent using Jamii Forums mobile app