Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

Mambo yanayoongelewa hapa ni uongo mtupu.....kwanza kabisa wanawake wakubwa wanapenda pesa Sana kulko Hawa wadogo labda akutongoze yeye kwanza na sio wew umuanze,ukimuanza na Kama ni single mom Hana mme wengi wanapenda Sana pesa za matunzo sio mchezo.....wasiopata changamoto za kulea watoto wao ni wale wenye waume na Hawa n hatari zaidi Kama ukideti nao Huku ukiwa bado unayapenda Malinda yako...

Changamoto n nyingne n namna ya kuwagonga,hawawez kustahimili show nzito kabisa,ukipiga viwili tu haendi zaidi,Hali hii hukuacha na nyege,labda upate asiye mnene na aged wengi Wana uzito mkubwa sana,...kingine n kwamba sehemu ya kuwalia n changamoto....kumleta mama miaka 35+huku wew una 25+ getho kwako ulikopanga na wapangaji wenzio n ngumu,pia wew kwenda kwake kumkulia huko n ngumu maana wengine wameolewa tyr na wengine husema hawajaolewa kumbe waongo tu,jipeleke uliwe mtaro na mme wake,guest house pia ni ngumu maana wengi wao n wamama wa heshima Sana hvyo hawapendi kuingozana nao mpk guest na hata ukimpeleka guest huwa hawez kulala maana wengi Wana watoto nyumbani hvo hawez acha watoto wake walale pekee yao usiku kisa mbOo yako....

Ukitaka umfaidi mama mtu mzima yafaa awe na sifa hz:
1.akupende mwenyewe tu na akutongoze yeye
2.asiwe mke wa mtu
3.awe amejenga na asiwe anaishi na watoto wake
4.asiwe na watoto wadogo wanaomtegemea

Otherwise Hawa wanawake watu wazima n hovyo Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa upende wangu aise na enjoy sana na pewa kile nachotaka!!safii kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaaaa

Kuna namba A mmoja niliwahi kuingia kwenye mvutano naye kisa alikuwa hakubali mimi nikamfyekee ile misitu yake ya virunga ahahaaaaa...

Nikamwekea msimamo kuwa bas sichezi na wewe hadi utakapokubali kuachia nyasi za kwa down zikue kisha nije nizifyeke mwenyewe, akawa hana namna zaidi ya kukubali.

Siku ya siku nimejiandaa nimejipanga vilivyo nikafika na kuku choma na mvinyo aupendao huyoo hadi eneo la tukio, tukala, tukanywa, tukachangamka. Sikuchelewesha nikambembeleza na kumchombeza akakubali mara paap viwalo tupa kule nikamweka mkao wa kunyolewa , nipo bize na sheva pale nafyeka huku napulizia zile za mabaki maki kwa mtindo wa "aaasssphuuuuuu!!!...sssphuuuuuu!!!!...ssssaphuuuuuu......kanitolea jicho kodo ova ntole ichomwayo kwa joto la wastani....hahhahaaaaa...ananambia we mwana we una hatari balaa lako si la kitoto , namuuliza kwanini? ananambia we kunichungulia ( )¢H! wangu waona dogo eeeenh!!

Tumemaliza pale anaanza kama kawaida yake "mbalizi1 babaangu unanichanganya kwa mahaba yako baaba", chozi likimtiririka~ akaitenga akasema ivurugue mali yako peke yako baaba
Hahahahah pumbuvu zako hahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nikupe dondoo kidogo kwasisi tuliofuzu hii kozi yakudate wamama watu wazima tunavyofauru changamoto zao.

Ukitaka kufaidi mtu mzima usitembee na ambaye bado anamume, chukuwa mjane ama ambaye ameachika hapo utakuwa na uhuru sana bila uoga.

Wengi wao wanakuwa na watoto, hakikisha hauna mazoea na watoto wake kabsa yani hasa kama watoto niwakubwa wanaojitambua achananao mazoea na ikibidi wasikujue nawakikujua basi kuwa kauzu wakuone mkubwa tu kama baba yao.

Zawadi zao hawa wamama huwaga nizaajabu sana yani ukimpelekea hata ubuyu tu wa buku aisee atakuhusudu na ataula huo ubuyu hata kwa wiki nzima, pia mahitaji yao nimadogo sana hawanaga mizinga ya ajabu kwasababu wote wanakuwa tayari wanashughuli zao zilizosimama kwahiyo wanakuwa sio tegemezi.. labda wewe mwenyewe upende kumuhonga .

Wanapenda sana kutoa zawadi pia niwepesi sana kuguswa nashida zako nawanajitolea sana kukusaidia kifedha, kiushauli na support ya connection... hapo sasa kama mwanaume ukiwa MARIOO ndoivo utawafaidi lkn kwa mtu mwenye kufuata starehe tu kama mimi huwaga sifuati pesa sanasana huwaga nafurahia ushauli wao ktk masuala mbalimbali yamaisha na uchumi aisee wapo vizuri sana (hapo naongelea wenye above 45 yrs)

Wanajali sana pia niwasikivu nawanyenyekevu sana sana. Yani ukiwanaye nivigumu sana kupata sababu yakugombana na wanajiwahi sana kuomba radhi wanapojua wamekosea (kwenye hili kadri umli unavyozidi kuwa mkubwa ndivyo wanazidi kuwa wanyenyekevu zaidi)

Kwenye mapenzi sasa Daaah! Sijawahi kuangushwa kwenye hili... wanajituma sanaaa hata kama kachoka hukueleza kiustaarabu nasio kukupiga vikumbo kama hawa dada zetu... penzi wanatoa bila masharti yani akijisikia hamu anakwambia muonane maeneo yenu yakujivinjari ama wewe ukijisikia hamu ukimwambia wapo open sana na sio rahisi kuvuruga miadi muliyopanga...

Niwatu ambao wanajishitukia sana yani muda mwingi wanalinda penzi Lao lisipotee ndiomaana unaweza ukawa umeoa na akakuheshimu na akamuheshimu mkeo tena anaweza akawa anakupa zawadi uwapelekee watoto wako nyumbani so wanafanya hivyo ili kulilinda penzi Lao kwakupenda kile ambacho wewe mwanaume unakipenda (yani watoto wako).

Mfano mkitoka kwenda sehemu usipokuwa makini utarudi na pesa yako yote maana kama nimafuta ya usafiri ataweka yeye kwenye chombo chako na kama ni bills mlizotumia atakimbilia kulipia yeye na mnapoagana utashangaa anafungua pochi akupe noti kadhaa za shukran (naongea kwa experience ya zaidi ya wamama kadhaa niliotokanao) so kama unapenda kitonga brother hapo utapona kuhudumia.

Niwatu wanaoridhika sana kwa maneno zaidi kuliko vitendo vyako.. unaweza ukawa mbali nayeye ukampanga kwa maneno mazuri tu akakuelewa au pengine kama mmezinguana wanapenda suruhu (sijui ni suluhu, R na L zinanipiga chenga) hivyo sio rahisi kugombana ovyo.

Akikupenda sana kutoka rohoni mwake hakika hawanaga kujificha kabsa, yani wanakuwaga huru kabsa kujiachia nawewe hata kwenye kadamanasi... atakuita kazini kwake akutambulishe kwa wafanyakazi wenzake, akialikwa sherehe atapenda aongozane nawewe, akipata shida za kwenye mambo kadhaa atapenda kuongozana nawewe kama Mr wake ukamsaidie, kama anawatoto atakutambulisha hata kwa jina la Uncle wakati wanaona kabsa unaingia chumbani na mama yao... sasa brother wakifikia level hii kuwa makini sana kwasababu kunamadhara yafuatayo yanaweza kukupata....

Kama umeoa jiandae kukugombanisha na mkeo, yani wanapigaga majungu sana kuhusu mkeo ili mgombane abaki yeye tu akufaidi.

Wanakuwaga na mood swing za ajabu, yani sijui wakikumbukaga yaliyopita huko nyuma kwenye maisha yao wanajikuta wanaongea vitu flani vyaajabu au anaweza akakuandikia SMS ambayo utabaki unajiuliza hivi huyu ndo kaniacha AMA nini?!! Lakini yakipita masaa kadhaa utashangaa mwenyewe anakitafuta anaomba samahani tena naunyeyekevu wahali ya juu..

Siku ukisema umuache, my brother sio rahisi kiivyo (hapa nikwaaliye kupenda sana) wanakuwaga ving'ang'anizi unaweza kuomba dunia ipasuke ujifiche maana atajishusha kila sekta ilimradi tu muendelee namahusiano...

Shida yao nyingine kama alishawahi kumpenda sana jamaa flani kabla yako halafu jamaa akajirudi aisee jiandae kuachwa lakini kama wewe unamaajabu zaidi basi hakuachi (hawa watu wanajari sana hisia zao zaidi ya material things)

MY EXPERIENCE:
Binafsi ninapenda sana mahusiano ya mtu mzima yani from 45 onwards hata 100 yrs huko ( Msinishangae sipo pekeyangu, hii ni hulka tu kama ambavyo wengine wanavyopendelea watoto wa shule)

Age kubwa nilowahi kudate nayo ni 61 japokuwa hatukudumu tulikuwa tunapunguzana genye tu .. huyu alikuwa na watoto wazima na wajukuu kadhaa nahuyu ndiye aliyefungulia dimba (daah! Nilianza na namba kubwa sana eti?!) Huyu nimeshamuelezea hapo juu[emoji3516]

Age inayofuata ni 50's ,huyu ndiye niponaye kwasasa, nimjane anawatoto wawili girs wote wapo chuo wananijua tu kama Uncle wao japokuwa wanafahamu what's going on between us, huyu mama namuheshimu sana na ananipenda sana, tukitofautiana anajiwahi sana kuomba yaishe, tukitoka mtoko nimtu anayependa kucover bills zote japokuwa siruhusu kitendo hiki kitokee mara kwa mara ingawa hujisikia vibaya pale ninapotake responsibilities zaku_pay bills, alifanikisha kuyavunja mahusiano yangu na mdada aliyenikutanaye maana alikuwa anampiga vijembe sana mpaka nikamuona mbaya kwangu nikamuacha (kwenye hili simlaumu she was right) lakini kichwa yangu ilikuwa bogus bana nikarudiana nayule dada lakini alichonifanya huyo dada wadau nimewaogopa zaidi hawa dada zetu... huyu mama hajaniacha yani ndiye amenishika mkono ktk kipindi chote nilichoyumba kimaisha... sijawahi kumpa pesa za kuniumiza zaidi ya zile zawadi na nauli za hapa napale just to be a gentleman to her, akihitaji pesa nyingi basi nikwaajili ya shida specific na akipata pesa ananirejeshea labda niikatae mwenyewe.
Hupendelea mazungumzo ya faragha sana na hapendi niwekaribu sana na watoto wake maana anawatoto wazuri sana babalai yani wamejaaliwa Shape alafu warefu na rangi wanayo, nywere wamejaaliwa yani ukiwaona huchoki kuwaangalia lakini ndoivo mimi ndio babayao sinabudi kuwaheshimu.

Age inayofuata ni 45, huyu hatukudumu sana.. tulidumu kidogo tu nikaja kujua anamume walitengana sasa mume karudi nikaona niwaache waendelee kulea ndoa yao. Huyu anawatoto wakubwa tu, chuo na secondary wote wakike

Age nyingine ni 42, huyu pia sikudumunaye sana kwasababu ya mood swing zake zilikuwa za ovyo sana, anaweza akatuma SMS yatuachane usiku wamanane alafu alfajiri unakuta kaomba msamaha kwa SMS kama Mia hivi... yani alikuwa haeleweki japokuwa kwenye mambo mengine hatofautiani sana nahuyo wa miaka 50's yani wanaendana sana.. nilimuacha japo kwa mbinde sana

Walio chini ya 40 hadi 35 hao kwangu siwaongelei kama watu wazima...

Namalizia kwakusema:
Namba A niwazuri sana kama nilivyosema hapo juu lkn shida yao ni watakuchelewesha kuoa maana wanawivu sana wanataka wabakie wenyewe tu tena wanatumia pesa ama ndumba kukuraghai usiwaache so my brother kuwanao makini.

Pia kama umeoa niwatu wanaoheshimu sana ndoa lkn sio wote, wapo washirikina watakuvurugia ndoa yako hasa mke wako (japokuwa hii tabia wanayo hata hao wadada wadogo)

Kwenye show brother simamia kucha vilivyo hawataki uzembe.... piga papuchq hakikisha akitoka hapo anaenda kuchukuwa PF3 akarudishiwe bao zake kwa drip ulizomkamua lakini kama unampapasa jiandae kuachwa tu nautajikuta unahonga sana ili kumuimpress...

Ushauli wangu kama umeoa naunapenda kutoka na mtu mzima basi toka na mtu mzima above 45, hawanaga risk sana kwenye ndoa, lakini hawa wa 30' mpaka 40's brother acha acha kabsa utarogwa nautagombanishwa sana na mkeo mpendwa.
Guys ninamengi yakuandika kuhusu experience yangu lakini ngoja niishie hapo.. nawewe unaweza ukachangia experience yako mkuu.

Back
Top Bottom