tuheshimiane mwenyekiti......! Thats nt my name, mimi shwari tuu,napambana...... Usiwe unaaadimika hivyo kama jasho la kuku
Mabinti wa DSM wanaliwa uroda na vibabu vya kizungu ambavyo hata ulaya vinakataliwa kwa kunuka shombo. Noti kitu kingine kabisa, vijana wa kiume masela nao wanajivinjari na vibibi vya kizungu.
Mange wa U-turn website ndo anafanya kazi wa ku-promote udumavu wa akili kwa wanawake wawindaji wa vibabu vya kizungu. Perception mbaya sana kwa baadhi ya wadada wa kitanzania kuamini ya kuwa hakuna mafanikio bila kuzini na ngozi nyeupe za ulaya. Wanaishia kufanyiwa michezo michafu ambayo ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.

helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
basi tukawa tunajifunza kupika vitumbua.nk
basi ikaja session ya kutoa ushuhuda watu jinsi gani wamestrugle kutoka na ikawa vipi hatima yake..
loh kuna hawa maledies kama sita hivi..wakaanza kushuhudia jinsi wamepiga ujasiriamali hadi ule wa kipochi manyonya a.k.a kipochi cha utamu ...
sasa wao wakadai waliinvest kwa wazungu wakitegemea kuwa mamrs whites...
but hawakuambulia chochote zaidi ya kukopwa na kuachiwa email adress eti ...eheheeee sina mbavu mie
nimeamini wazungu noma..hata no za simu hawatoi ni email adress tu ..wadada wanalalamika kila siku kwenda internet cafe kuchungulia kama ka ujumbe kametumwa teh hola hola...
basi tupo nao tunapika vitumbua vipo advanced tunasupply somalia rwanda &burundi...

Siku nyingine mkikaa kikao waambie waache kutegemea mwili bali akili zao hahaha..
Nimecheka mmoja alikuwa analalamika wazungu walikuwa zamani siku hizi wanatupa elfu tano
kwani elfu tano uliyopewa, umefanya kazi gani inayostahili malipo hayo?
ahaaa King'asti bwana@mimi mwanakijiji ni mbush boy liblack kabisa jaribu@Bishanga ndo nasikia chotara wa kihindi na ******Ndo kusema ule mpango wa Kuni-introdyuzi kwa mzungu umeyayuka?
walau ni-introdyuzi kwa mwanakijiji, nahisi ni singasinga:loco::loco: