mapenzi ya wazungu ....mjini dsm

mapenzi ya wazungu ....mjini dsm

tuheshimiane mwenyekiti......! Thats nt my name, mimi shwari tuu,napambana...... Usiwe unaaadimika hivyo kama jasho la kuku

Vp unaogopa kupelekwa msitu wa pande nn? coz umekataa udokta kwa nguvu zote
 
inasemekana kwa vijamaa vya ngozi hiyo, matundu yote ya mwili ni halali...
 
Wikendi iliyopita tulikuwa kwenye harusi ya mdada mmoja wa kitanzania akifunga ndoa na mbaba wa kidhungu, loh umaskini mbaya jamani, maana ilikuwa minong'ono usipime. Kuna dada pembeni yangu akasema kwa sauti ya chini chini, aaha jamani haya makaratasi kweli yanatuponza Mwenyesi Mungu atusaidie, yaani huyu dada kweli anakubali kuolewa na huyu..... huyu (akimaanisha mwanaume) si mnamuona ni tahira kabisa jamani! Hivi .......(akaanza ku-imagine kunako.....)
 
Mabinti wa DSM wanaliwa uroda na vibabu vya kizungu ambavyo hata ulaya vinakataliwa kwa kunuka shombo. Noti kitu kingine kabisa, vijana wa kiume masela nao wanajivinjari na vibibi vya kizungu.
Mange wa U-turn website ndo anafanya kazi wa ku-promote udumavu wa akili kwa wanawake wawindaji wa vibabu vya kizungu. Perception mbaya sana kwa baadhi ya wadada wa kitanzania kuamini ya kuwa hakuna mafanikio bila kuzini na ngozi nyeupe za ulaya. Wanaishia kufanyiwa michezo michafu ambayo ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.

Umaskini mbaya ndg yangu! ndo maana mi huwa sitaki kutenganisha pesa na mapenzi ..............bisha utakavyo lakini hivi vitu vina uhusiano wa karibu mno!
 
Mimi nawapenda sana wanawake black coloured yaan we acha tu. sina interest kabisa na white skin cjui walinikosea nin. Labda kama kudo nao ili nipate sifa tu kwamba nimedu na white lakini sio kwa raha.
 
Nachukia kuona wenzetu wanadhani maisha bora yako kwa wazungu jamani, mie sijawahi kutamani na wala haitawahi.
kuwa na mzungu kama tu imetokea kikweli kabisa mmependana kikweli na sio sababu ya kitu fulani , ndio yaleyale ya mwa fulani
kujishaua mzungu mzungu sasa hivi analiwa tu hapa na mablack
 
Unaposema vitumbua una maanisha vitumbua vya kweli an ndo 'vitumbua' vile vya bustanini Eden? Naomba tu kujulishwa manaa tasfida (tafsida) siku hizi zipo sana!
 
Ndo kusema ule mpango wa Kuni-introdyuzi kwa mzungu umeyayuka?
walau ni-introdyuzi kwa mwanakijiji, nahisi ni singasinga:loco::loco:
 
Mabinti wa DSM wanaliwa uroda na vibabu vya kizungu ambavyo hata ulaya vinakataliwa kwa kunuka shombo. Noti kitu kingine kabisa, vijana wa kiume masela nao wanajivinjari na vibibi vya kizungu.
Mange wa U-turn website ndo anafanya kazi wa ku-promote udumavu wa akili kwa wanawake wawindaji wa vibabu vya kizungu. Perception mbaya sana kwa baadhi ya wadada wa kitanzania kuamini ya kuwa hakuna mafanikio bila kuzini na ngozi nyeupe za ulaya. Wanaishia kufanyiwa michezo michafu ambayo ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.

kila mtu na choice yake ktk maisha,msitake kujipa hati miliki na vidude vya wenzenu,michezo michafu hata wabongo kwa wabongo wanafanyiana kipi cha ajabu?:wacko:
 
helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
basi tukawa tunajifunza kupika vitumbua.nk
basi ikaja session ya kutoa ushuhuda watu jinsi gani wamestrugle kutoka na ikawa vipi hatima yake..
loh kuna hawa maledies kama sita hivi..wakaanza kushuhudia jinsi wamepiga ujasiriamali hadi ule wa kipochi manyonya a.k.a kipochi cha utamu ...
sasa wao wakadai waliinvest kwa wazungu wakitegemea kuwa mamrs whites...
but hawakuambulia chochote zaidi ya kukopwa na kuachiwa email adress eti ...eheheeee sina mbavu mie
nimeamini wazungu noma..hata no za simu hawatoi ni email adress tu ..wadada wanalalamika kila siku kwenda internet cafe kuchungulia kama ka ujumbe kametumwa teh hola hola...
basi tupo nao tunapika vitumbua vipo advanced tunasupply somalia rwanda &burundi...

Huku kwetu Kitumbua tunakielewa vyengine. Sasa hivyo vyenu ni vya biashara?
 
.....hahaha...."pochi manyoya," "vitumbua," "vileja...." smiles umenikumbusha mbaaali...dah, wazungu kumbe noma ee kwa mikopo? Hahaha...
 
Ngoja na mie nikajipitishe IMPALA nipate japo wa kunikopa nione how it feels!
 
Siku nyingine mkikaa kikao waambie waache kutegemea mwili bali akili zao hahaha..
Nimecheka mmoja alikuwa analalamika wazungu walikuwa zamani siku hizi wanatupa elfu tano
 
helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
basi tukawa tunajifunza kupika vitumbua.nk
basi ikaja session ya kutoa ushuhuda watu jinsi gani wamestrugle kutoka na ikawa vipi hatima yake..
loh kuna hawa maledies kama sita hivi..wakaanza kushuhudia jinsi wamepiga ujasiriamali hadi ule wa kipochi manyonya a.k.a kipochi cha utamu ...
sasa wao wakadai waliinvest kwa wazungu wakitegemea kuwa mamrs whites...
but hawakuambulia chochote zaidi ya kukopwa na kuachiwa email adress eti ...eheheeee sina mbavu mie
nimeamini wazungu noma..hata no za simu hawatoi ni email adress tu ..wadada wanalalamika kila siku kwenda internet cafe kuchungulia kama ka ujumbe kametumwa teh hola hola...
basi tupo nao tunapika vitumbua vipo advanced tunasupply somalia rwanda &burundi...

kwa staili hii, hata mkiwezeshwa kwa asilimia 1000 bado mwanaume atakuwa kichwa tu. hivi nani alianzisha huu utaratibu wa mwanamke kutumia vitu/mali za mwanaume ili kunogesha mahusiano? sio unyonyaji huu na kuwapumbaza wanawake? shtukeni, sio lazima kupewa na mwenzi wako, hata wewe chakalika umpe, ukifanya hivyo mtaishi maisha marefu
 
Siku nyingine mkikaa kikao waambie waache kutegemea mwili bali akili zao hahaha..
Nimecheka mmoja alikuwa analalamika wazungu walikuwa zamani siku hizi wanatupa elfu tano

kwani elfu tano uliyopewa, umefanya kazi gani inayostahili malipo hayo?
 
Back
Top Bottom