mapenzi ya wazungu ....mjini dsm

mko juu sana kwa kweli, and shelf life yake ni muda gan?
miezi mitatu mkuu..ila kwa sasa demand ni kubwa na supply ni ndogo siku mbili tu vimeshaisha..kwa siku tunauza vitumbua laki 2
 
daah hii kitu ni safi sana! is it paying? and we uko wap!
 
daah hii kitu ni safi sana! is it paying? and we uko wap!
tupo jijini dsm tunatafuta mtaji target yetu ni kupika vitumbua milioni 3 kwa siku so bado saaaana safari hii
 
ok, poa me ntapenda niwaone one day! napenda biashara ya chakula kwakweli
 
ok, poa me ntapenda niwaone one day! napenda biashara ya chakula kwakweli
usijali nitakutafuta kama wewe she nitakuingiza kwenye kikundi ... just ni pm nipe email adress yako...mjini hapa
 
wanawake mngekubakigitu udhaifu wenu maisha yenu yangekua rahis sana.
tataizo hujilinganisha na wanaume , mambo yakiwazidia mnaanza kulalamika.
sasa s wanawakopa kama ninyi mnvyowakopa af mnatokomea/tegemea kusamehewa deni!!
usawa huo.
 
Smile hivi ushawahi kuwa na bf mdhungu?
 
wazungu nini bwana weee, na vitu vyao vya pink, yaani wadada nyie hamjui kabisa mambo, kitu cheusi mpaka ukiangalia chozi linatoka lenyewe lol
 
Kongosho umenikumbusha juzi kati nilikuwa naongea na mdogo wangu; rafiki yake best ameolewa na mzungu ila wao wanaishi Ulaya; mdada ni msomi na wazazi wake ni very influential; ila si unajua kupata decent job nje ni ngumu; hivyo she is kind of frustrated.

Mi nikamwambi dogo amshauri rafiki yake warudi Tz kwani yuko assured kupata kazi nzuri.

Mdogo wangu akasema we NK mgeni hapa Tz? Nikasema kulikoni? Akanambia yani kumeingia wimbi la kuwinda wazungu; kwa hiyo akirudi kuna uwezekano mdogo sana wa ndoa yao kudumu.

Mpaka sasa siamini amini hivi. Ni kweli jamani.

Mdogo wangu anafanya kazi kampuni ambayo imejaa ma top ambao ni foreigners; ananambia wake za hao foreigners ikifika lunch haooo; wametia timu kulinda mali zao. Yani wake wa foreigners wameshajua waume zao dili ingawa hao wanawake wala si wabongo. Nkamwambia kweli tumefikia huko.



Kuwa Mrs white kazi sana hasa kwa hawa wanaokuja hapa TZ labda uende huko huko kwao.
 
Nimekumbuka incidence moja; kuna wadada walikuja Tz toka chuo kimoja US; tulikuwa connected kikazi, siku ya kwanza wakiwa wageni waliniomba niwapeleke kituo cha karibu wakachukue dala dala waende walikofikia.

Kufika kituoni madereva taxi wakawa wanawagombania kama mpira wa kona. Na usafiri ulikuwa mbaya kweli ilikuwa rush hour. Walishangaa wale wadada wanagombea dala dala.

Wacha yawatoke matusi. Eti wazungu walikuwa zamani; hawa wazungu wazungu gani mazeruzeru tu.
Nilishindwa kujizuia nikaangua kicheko. Yani hata madereva taxi walikuwa wanazani kuwa mzungu=kuwa na pesa
 

Kumbe ulikuwa hujui....kuna dogo mmoja kashangaa jirani yake mzungu anatumia maji ya kisima. Kwa dada zetu ndio balaa mzungu yeyote ni dili potelea mbali ana pesa hana. Ila pia ni kweli kinadada wa bongo ni wezi wa kupigiwa mfano kwa waume wa wenzao, Uliza hata nchi jirani watakwambia.

By the way naomba ubadilishe avatar ....nakuchanganya na kidume. Nipe kazi ya kukutafutia..........kuna socialist wengi wamama, sio kwamba simpendi Chavez ila ukiweka ya kike nasoma mwandiko wako vizuri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…