Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanawake mngekubakigitu udhaifu wenu maisha yenu yangekua rahis sana.helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
basi tukawa tunajifunza kupika vitumbua.nk
basi ikaja session ya kutoa ushuhuda watu jinsi gani wamestrugle kutoka na ikawa vipi hatima yake..
loh kuna hawa maledies kama sita hivi..wakaanza kushuhudia jinsi wamepiga ujasiriamali hadi ule wa kipochi manyonya a.k.a kipochi cha utamu ...
sasa wao wakadai waliinvest kwa wazungu wakitegemea kuwa mamrs whites...
but hawakuambulia chochote zaidi ya kukopwa na kuachiwa email adress eti ...eheheeee sina mbavu mie
nimeamini wazungu noma..hata no za simu hawatoi ni email adress tu ..wadada wanalalamika kila siku kwenda internet cafe kuchungulia kama ka ujumbe kametumwa teh hola hola...
basi tupo nao tunapika vitumbua vipo advanced tunasupply somalia rwanda &burundi...
Kuwa Mrs white kazi sana hasa kwa hawa wanaokuja hapa TZ labda uende huko huko kwao.
Nimekumbuka incidence moja; kuna wadada walikuja Tz toka chuo kimoja US; tulikuwa connected kikazi, siku ya kwanza wakiwa wageni waliniomba niwapeleke kituo cha karibu wakachukue dala dala waende walikofikia.
Kufika kituoni madereva taxi wakawa wanawagombania kama mpira wa kona. Na usafiri ulikuwa mbaya kweli ilikuwa rush hour. Walishangaa wale wadada wanagombea dala dala.
Wacha yawatoke matusi. Eti wazungu walikuwa zamani; hawa wazungu wazungu gani mazeruzeru tu.
Nilishindwa kujizuia nikaangua kicheko. Yani hata madereva taxi walikuwa wanazani kuwa mzungu=kuwa na pesa