Mapenzi ya Zanzibar yapoje?

Mapenzi ya Zanzibar yapoje?

Wakuu , mchumba wangu wa zamani alioa zenji.

Hakuachana hadi Leo.
Rafiki zangu wameoa Zanzibar wote hadi naleo hawajaachana .

Tujuzeni mapenzi ya Zanzibar yakoje?

Yapojee?

Maana sio wakutuchukuliwa waume kihivyo.
Hadi mtandao wa yaas uanze kuwa na changamoto za "mawimbi "ndio waachane.
 
Back
Top Bottom