Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
huyu wa chaja bila nauli akifika gheto anahitahu na chips yai kwanzaMapenzi ya zamani raha sana mwanamke anatoka Kwao kabeba chakula kwenye hotpot hadi ghetto kwako
Hawa wa siku hizi sio romantic kabisa anachokibeba yeye toka kwao ni chaja ya smartphone tu,hata hela ya nauli hana
Ha ha ha umekumbuka mbali eeeh mkuu,zamani raha sanadah umenikumbusha nilikuwaga Makambako nilipata kabinti jirani na nyumba ninayoishi kalikuwa kananiletea wali usiku nyama zimefunikwa uzioni yaani ile unapiga kijiko hakiendi kumbe chini ya wali ni full manyama-nyama.
Niagizie mmoja mkuuLabda wa mjini lakini wa huku vijijini kwetu bado wapo sana wa hivo
ALAFU ANATEMBEA NA CHAJA UTAFIKIRI ANAENDA KUFANYA MAMBO YA MAANAna a
huyu wa chaja bila nauli akifika gheto anahitahu na chips yai kwanza
ha ha ha labda mkuuMkuu hujapata tu akupendae, kaa utampata anayekupenda ma kukujali yote hayo utayapata
Na akifika getto ana njaaMapenzi ya zamani raha sana mwanamke anatoka Kwao kabeba chakula kwenye hotpot hadi ghetto kwako
Hawa wa siku hizi sio romantic kabisa anachokibeba yeye toka kwao ni chaja ya smartphone tu,hata hela ya nauli hana
ndio maana nasema mapenzi yalikuwa zamaniSi upike mwenyewe
Sana mkuu wangu
Hajar ndio maana nasema mapenzi yalikuwa zamani...think beyond the box,what i mean here is the glass was full of water during those previous days.Duuh! Nimekaa na kuwaza zamani hiyo ni ipi jamaani.
Sababu malezi waliyopata wasichana wa zamani ilikuwa ni ngumu kwa mtoto wa kike kuyafanya yote hayo hasa akiwa anaishi kwa wazazi wake.
Pia niseme tu acheni kupenda vya kuletewa sababu vingi vinakuwaga na masimango.
Shida tupu mkuuNa akifika getto ana njaa