Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zamani unazozisema uliziishi au malavidafi tuMapenzi ya zamani raha sana mwanamke anatoka Kwao kabeba chakula kwenye hotpot hadi ghetto kwako
Hawa wa siku hizi sio romantic kabisa anachokibeba yeye toka kwao ni chaja ya smartphone tu,hata hela ya nauli hana
Zama zipi hizo amvazo zilikuwa na "hotpot"!Mapenzi ya zamani raha sana mwanamke anatoka Kwao kabeba chakula kwenye hotpot hadi ghetto kwako
Hawa wa siku hizi sio romantic kabisa anachokibeba yeye toka kwao ni chaja ya smartphone tu,hata hela ya nauli hana