Mapenzi yalivyokatisha Uhai wa wakili Elizabeth Koki Musyoki

Mapenzi yalivyokatisha Uhai wa wakili Elizabeth Koki Musyoki

Funzo nililolipata...

Unapofunga ndoa na kuzaa familia au watoto, kutengana na kuanzisha mahusiano mapya ni hatari mnooo.... Au kujaribu kuvunja mahusiano au ndoa yako kwasababu ya kiboi au kitoto Cha kike huko nje, ni hatari mnooo
 
Ukifatilia nikama dem alizuzuka sixpark mana stor walipatana miez michache baada ya eliza kuachana na mmewake tena walipatana sehem ya mazoez yawezekana walikua wananyanduana kabla hajaachika na jamaa ndo alifanya eliza amwache mmewe saivi mume wa eliza anachekea choon.ndomana mie madem asilimia kubwa wanaoenda gym nawaona kama malaya tuu wakikutana nalijamaa kifua kmetuna kama rimoti za dstv za zaman ujue ataliwa tuu
 
Back
Top Bottom