😆 Summary, nilianza kugegedana na umri mdogo,nikatendwa na ma bloo nikalia kama fala, wa pili wakanipigia mimba nikamlima kofi akaenda zake.
Wa tatu nikampa mimba akaitoa, akaolewa na bloo mmoja, ila tumebaki marafiki wa mbali.
SET SEQUENCE N SERIES
Wa nne na wa tano watamuibia hela/kumchuna na kadhalika.
REACTION; Anaanza kulazimisha ushindi kwa kucheza rafu, anagonga hovyo hovyo. Akumbuke kuna hasara ya muda, vipesa pesa na hatari ya ukimwi.
Unawatandika tig*, ngumi na kuwadhalilisha dada zetu kwa hasira za Debora
Kuwa makini mkuu