Mapenzi yamefanya nifukuzwe shule; chanzo ni mwalimu wangu kunitaka kwa nguvu

we jamaa ....nakuhisi ni afisa usalama....mara una mke .. .mara naenda shule.. ...mara una alteza ....hata tukïulizwa bakigraundi yako hatuelewi......inshort husomeki
Dah afisa usalama
 
Kwqhiyo mkuu ukiona mtoa post ni beira boy huwez soma habar yote

Hivi hua unaandika ili iweje kwa mfano? Unatunga tunga story za uongo uongo tu.. acha upuuzi bana we una zivu kbs unafanya ishu ka hizo, Tz ya viwanda itafikaje sasa?
 
Ulienda shule au ulinyang'anywa simu na wazazi mkuu?
 
Hivi hua unaandika ili iweje kwa mfano? Unatunga tunga story za uongo uongo tu.. acha upuuzi bana we una zivu kbs unafanya ishu ka hizo, Tz ya viwanda itafikaje sasa?
Mkuu iv bado unasubir tz ya viwanda?
 
Sasa kama ushafukuzwa unataka ushaur gan?inamana wewe ni nunda huskiagi kwahyo basi pambana na kijiji sina msaaada na wewe
 
DAH JAMII FORUMS ILIKUWA YA WATU WAZIMA WANAOJITAMBUA HASA WENYE UWEZO MKUBWA WA KUFIKIRI........
ILA KUKUSAIDIA KASOME KITABU CHA NGOSWE,PENZI KITOVU CHA UZEMBE........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…