Mapenzi yamenishinda nahamishia mapenzi huku

kacnia

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
4,024
Reaction score
15,796
Moja kwa moja kwenye mada.

Nimekuwa muhanga wa kukuta mambo ndivyo sivyo katika mahusiano, yaani mwanamke nnaye mtaka kuna wakati simpati, nikimpata basi ndani ya muda mfupi namtaka mwingine tena, nikipata wote mahusiano yakakufa wakija kujuana

Mwanamke akinipenda sana anageuka tena kero yaani tafrani.

Sasa rasmi nimeamua kuhamishia mapenzi yangu miguuni, yani vile viatu nilivyopanga kumiliki, mwaka huu lazima vyote vikae mguuni by any means necessary.
Baadhi hivi hapa 👇👇
GK9GTQcWMAE7GAA.jpeg

GIaXU4vWIAEIZtV.jpeg

Ntaongeza vingine ili JF inisaidie kutunza in case nimepoteza simu.

So far niko humu👇
Fed1OS6X0AI0tZr.jpeg

Chini ya dola Moja. Case closed
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Nimekuwa muhanga wa kukuta mambo ndivyo sivyo katika mahusiano, yaani mwanamke nnaye mtaka kuna wakati simpati, nikimpata basi ndani ya muda mfupi namtaka mwingine tena, nikipata wote mahusiano yakakufa wakija kujuana

Mwanamke akinipenda sana anageuka tena kero yaani tafrani.

Sasa rasmi nimeamua kuhamishia mapenzi yangu miguuni, yani vile viatu nilivyopanga kumiliki, mwaka huu lazima vyote vikae mguuni by any means necessary.
Baadhi hivi hapa 👇👇
View attachment 2968236
View attachment 2968240

Ntaongeza vingine ili JF inisaidie kutunza in case nimepoteza simu.

So far niko humu👇
View attachment 2968244
Chini ya dola Moja. Case closed
Kweli anko we nyuka tu vyanda pendeza mda wote watakuja wenyewe tu!!! Sema kwa hiyo mikwaju unayokula ndio maana unapigwa chini
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Nimekuwa muhanga wa kukuta mambo ndivyo sivyo katika mahusiano, yaani mwanamke nnaye mtaka kuna wakati simpati, nikimpata basi ndani ya muda mfupi namtaka mwingine tena, nikipata wote mahusiano yakakufa wakija kujuana

Mwanamke akinipenda sana anageuka tena kero yaani tafrani.

Sasa rasmi nimeamua kuhamishia mapenzi yangu miguuni, yani vile viatu nilivyopanga kumiliki, mwaka huu lazima vyote vikae mguuni by any means necessary.
Baadhi hivi hapa 👇👇
View attachment 2968236
View attachment 2968240

Ntaongeza vingine ili JF inisaidie kutunza in case nimepoteza simu.

So far niko humu👇
View attachment 2968244
Chini ya dola Moja. Case closed
Vaa man. Vaa raba kali. Usianze na raba za 90k anza mdogo mdogo na 35k zile Air Max. Mtu akisema sio original mwambie akuoneshe original.
 
Back
Top Bottom