Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Unajilahisisha mbele ya wanaume ndo maana.Hi
Nikifikiri kuhusu mapenzi naona mimi nimeumbwa kupenda na kuumizwa ila sio kupendwa mda wote unachunwa mpaka akiba
Vuta picha unakutaka na ex wako yupo na rafiki yake rafik yake anakupa salamu af ex wak anasema nilikula pesa zako
Nachukia mapenzi kunaye mmoja ananiendesha sanaStick to your plan
Lakini we bado mdogo you do still have many chances sio kama sisi ππππ€£π Cc ephen_
Lakini we bado mdogo you do still have many chances sio kama sisi ππππ€£π Cc ephen_
Uliza ex wangu now anafanya kazi gani?Ndio ukubwa huo
22Kwani mwisho wa chances miaka mingap?
Umepambana aisee mpaka leo ulikua unashindana nayo?
Kweli? Basi nimechelewa kuujua mchezo