Mapenzi yamesababisha urafiki wetu uvunjike

Mapenzi yamesababisha urafiki wetu uvunjike

Ndio umemwandikia upupwu wote wa nini, natumaini hatakusoma umetaka tu kumuumiza zaidi mwenzako. Una roho ngumu ya chuma wewe.

Na mkienda kwake awapige vibao tu na mateke kabisa.

Wewe sio mwanaume wala hufai kuwa rafiki, sasa subiri uje uyaonje wewe.

Kaa mbali naye hamna haja ya kwenda kwake wala kumtafuta ungethamini urafiki wako na yeye husingefanya yote... namba moja kuchukua simu ya wake na kunyamaza. Unaroho mbaya na tamaa ya wivu umekujaaaa.

Na akikusoma ndio akufute kabisa maishani mwake, unatia aibu.
Kama binadam ameomba msamaha lkn nilichofurahi bado yupo na Anna maisha yanaendlea
 
Nimesoma baadhi ya comments hapa duh wanaume wakitendwa wanaumia sana ila akimtenda mwanamke wanaichkulia poa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] any way ndo maisha
 
Kama binadam ameomba msamaha lkn nilichofurahi bado yupo na Anna maisha yanaendlea

Huyo kaomba kwa kumueleza yote hayo, kuna mengine ni bora kunyamaza kuliko kushindilia kisu kiingie zaidi ndani.

Hayo yote huyu mwnaume kuyaandika ni hatari sana sana kwa kweli. Bora hata angeandika wali do mara moha bila kujijua na kunogewa, ssa haya ya mawasiliano yoteee ni hatari huyu kwa kuyaandika.
 
Msithubutu kukanyaga kwake ogopa sana mtu mkinya ktk matukio mazito na makubwa kama hayo hamuwezi jua akilini anapanga nini juu yenu.
 
Mimi binafsi sioni kosa la mleta mada, Mungu aliamua kukupa mke kwa staili hiyo, shukuru Mungu endelea na maisha, sababu hakuwa mchumba wake rasmi aliyejulikana home. Mwana usiogope kutishiwa akizingua na wewe mzingue na ukizidiwa nicheki PM nikupe msaada.
 
Asante mkuu kwa kunitia moyo
 
Yani ww ni wa hovyo kabisa.unajifanya kujitetea eti "Sikumtongoza uliponipa namba"...huku ni kuhalalisha maovu Yako na sio kuomba msamaha mfyuu.
 
yaan ungenifanyia mimi.. ningekutoa wasi wasi tu kuwa kaeni na furahini mapenzi yenu kwa amani ila naomba msinifahamu wala msinisumbue kwenye maisha yangu.. sihitaji kero yoyote kutoka kwenu kwisha!!!!
 
Jamaa kachukua na kumla demu wa mwenzake... Haijaishia hapo.. Mpaka mimba kampa... Haijishia hapo na kuishi ana ishi nae...

Ndiyo anakuja kuomba msamaha alipoiba...
 
Wakati naanza nlitaka nimlaumu rafikiyo,nlishangaa anavunjaje urafiki na mwana sababu ya demu lakini kadiri nlivyoendelea kusoma nkagundua wewe hukuwa rafiki wa kweli,hata kama ni kupitiwa hii too much.Yaelekea bado umshamba wa mapenzi.mademu wote waliopo mjini inakuaje kwenda kugegeda demu wa rafiki yako.we utakuwa mchawi si bure.unaombwa namba on the spot na unatoa.sawa basi tuseme ulipitiwa ungegonga walau mara moja then ukajirudi,we ukaamua kujenga mzinga kabisa.huyo demu alikuwa na kipi spesho?,au alikuwa anakupa washery?.habith nuksani mkubwa.mtoto wa kiume kutawaliwa na matamanio ni udhaifu wa hali ya juu.
 
Ndio umemwandikia upupwu wote wa nini, natumaini hatakusoma umetaka tu kumuumiza zaidi mwenzako. Una roho ngumu ya chuma wewe.

Na mkienda kwake awapige vibao tu na mateke kabisa.

Wewe sio mwanaume wala hufai kuwa rafiki, sasa subiri uje uyaonje wewe.

Kaa mbali naye hamna haja ya kwenda kwake wala kumtafuta ungethamini urafiki wako na yeye husingefanya yote... namba moja kuchukua simu ya wake na kunyamaza. Unaroho mbaya na tamaa ya wivu umekujaaaa.

Na akikusoma ndio akufute kabisa maishani mwake, unatia aibu.
Sasa mkuu angefanyaje kwa kulazimishwa huko na shem wake!
Mkuu unajua jinsi wanawake walivyo na ushawishi
 
Back
Top Bottom