Mapenzi yana nitatiza jamani

Siku hizi hiyo issue imekuwa ngumu sana mkuu!!!!
 
Kabla ya kutoa comment, jinsia yako tafadhali
 
Umenifurahisha sana
Kwani kupeenda kuna jinsia...Mshauri tu

Mkuu nivyema kumpa mtu ushauri kulingana na yeye, swali lake lipo too general majibu sahihi yatatokana na jinsia yake
 
Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash?hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe/
Na wenye nazo hawajatulia, wanawakatia mikwanja,wanawatumia, wanawaacha,wanawakimbia/ FID Q
 
Anakutazama kwa jicho la kuibia. Hii ina apply kwa wanawake wengi, wanaume wachache.
 
duh,ngumu kumesa,kumjua kwangu si kumjua kwako........jua jinsi ya kumjua wa kwako..:clap2:
 
ni ngumu kujua, lakini kwa haya machache utaju.
1 anapenda kukutazama hasa kwa kuibia, pia mkiwa pamoja anakuangalia machoni utaona macho yake.
2 kama ni marafiki au mko karibu, angalia mguso wake, atakushika mikono, bega, mkiwa kwenye public.
3 atapiga simu kila siku na pengine mara kadhaa kwa siku
4 atakuwa tayari kukusaidia pale upatapo shida
5 atapenda kwa nawe popote
6 atakuhadithia maisha yake ya zamani mabaya na mazuri pia.
na mengineyo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…