Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
please....hebu fanya usiku wangu uwe mwema....
ooh! We msukuma jamani, mmh! Mwenzako mi naogopa kurudia hilo neno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
please....hebu fanya usiku wangu uwe mwema....
ooh! We msukuma jamani, mmh! Mwenzako mi naogopa kurudia hilo neno.
sasa husninyo....lilikuwa rahisi kwa finest halafu kwangu gumu duh! back to ze topic MAPENZI YANATATIZA JAMANI
mmh,.. Jamani, yako nitanguliza paleee kwenye kidude cha pm.
Kweli mapenzi yanatatiza hash hasa ukipenda usipopendwa ni balaa.
duh! Nifariji basi hata na ya pm!
nishatuma. Haijaja tu?
Mmh, sijui kuna foleni au umeniingiza kwenye ignore list?
Nitoe huko jamani.
hizi traffic hizi zinaweza kukosesha mtu mke....
Kudaeki ntaisubiri hadi dei breki....mpaka niione...
subiria tu mpendwa, si unajua tena subira yavuta heri.
Ngoja nitume mbili labda zikifukuzana zitawahi kufika.
mpaka hapo kama ni mpira dakika ya tisini halafu naongoza moja bila!...haya maneno please jaribu kuyatumia mara kwa mara kila uongeapo na mimi.........
ha ha ha!
Sawa mpenzi. (hilo je? Au la aziz?).
Ooh! Nilisahau, halafu wewe ndio yule mvunja nyoyo zetu eeh? Au nimekufananisha!
duh! Naona umenifanisha lile lililokuwa na mremba mkuuuuubwa kichwani?....sio mimi
dah! Afadhali, maana nilikuwa na wasiwasi ufalme wa mbinguni usingeuonja. Ningeenda peke yangu.
sasa mpango mzima wa hayo maneno ya pm unendeleaje?.....watu washa lala saa hii hakuna anaetuusikiliza....traffic isha isha.....
huyu invisible na mwenzie sijui wanazifanyaje pms zangu jamani.
Hazifiki tu. Lol!
Wasije wakanibadilishia maneno.
mi mbona nisha anza kuhisi picha la kichina?
Yaaani nimesafisha inbox,outbox,sent,delivered, yaani everising lakini wapi! Duh!
ha ha ha!
Hii picha ya kibongo ila waigizaji wanachanganya kiswahili na kingereza.
Ngoja nilale hash wangu ili nikiamka nikutumie zinga la pm. Ila usiwaambie watu kama nimekupm sawa eeh?