Mapenzi yana nitatiza jamani

ooh! We msukuma jamani, mmh! Mwenzako mi naogopa kurudia hilo neno.

sasa husninyo....lilikuwa rahisi kwa finest halafu kwangu gumu duh! back to ze topic MAPENZI YANATATIZA JAMANI
 
mmh,.. jamani, yako nitanguliza paleee kwenye kidude cha PM.
Kweli mapenzi yanatatiza hash hasa ukipenda usipopendwa ni balaa.
 
nishatuma. Haijaja tu?
Mmh, sijui kuna foleni au umeniingiza kwenye ignore list?
Nitoe huko jamani.

hizi traffic hizi zinaweza kukosesha mtu mke....
Kudaeki ntaisubiri hadi dei breki....mpaka niione...
 
subiria tu mpendwa, si unajua tena subira yavuta heri.
Ngoja nitume mbili labda zikifukuzana zitawahi kufika.
 
mpaka hapo kama ni mpira dakika ya tisini halafu naongoza moja bila!...haya maneno please jaribu kuyatumia mara kwa mara kila uongeapo na mimi.........
 
ha ha ha!
Sawa mpenzi. (hilo je? Au la aziz?).
Ooh! Nilisahau, halafu wewe ndio yule mvunja nyoyo zetu eeh? Au nimekufananisha!
 
duh! Naona umenifanisha lile lililokuwa na mremba mkuuuuubwa kichwani?....sio mimi
 
dah! Afadhali, maana nilikuwa na wasiwasi ufalme wa mbinguni usingeuonja. Ningeenda peke yangu.
 
sasa mpango mzima wa hayo maneno ya pm unendeleaje?.....watu washa lala saa hii hakuna anaetuusikiliza....traffic isha isha.....
 
huyu invisible na mwenzie sijui wanazifanyaje pms zangu jamani.
Hazifiki tu. Lol!
Wasije wakanibadilishia maneno.
 
mi mbona nisha anza kuhisi picha la kichina?
Yaaani nimesafisha inbox,outbox,sent,delivered, yaani everising lakini wapi! Duh!
 
Hii picha ya kibongo ila waigizaji wanachanganya kiswahili na kingereza.
Ngoja nilale hash wangu ili nikiamka nikutumie zinga la pm. Ila usiwaambie watu kama nimekupm sawa eeh?
 
dah! Ntalala na jakamoyo...good night and senks kwa majina kadhaa uliyo niita leo.......
 
Haya ooooooops hiyo mimi na husninyo ilikuwa ni praktiko about your sredi.......jibu..... Hus love hash?....jibu no!..l.o.l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…