Mbwilimbwili
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 183
- 282
Nakumbuka mafundisho fulani hivi niliyopewa mwaka fulani kwamba kila jambo lina kanuni au 'principle' zake, ukishindwa kucheza ndani ya hizo principle umekwisha 'kipopoma', vilio vingi vya mapenzi siku hizi watu tunajiendea tuu hatufuati 'principles' za association then matokeo yake ndio hayo.
Inahitaji akili kubwa sana na 'iliyotulia' kuelewa hiki nachozungumza hapa, bila kufuata 'principles' basi tutarajie majanga zaidi kuendelea kuripotiwa 'ITV', TBC, Clouds na kwingineko pia.
Kwa sisi wenye maarifa haya tunawashangaa tu mnaondelea kulia kila siku huku tukiburudika na mahaba 'ndindindi'
Kwenu studio