Mapenzi yana raha bwana, asikwambie mtu!!

Mbwilimbwili

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
183
Reaction score
282
Nakumbuka mafundisho fulani hivi niliyopewa mwaka fulani kwamba kila jambo lina kanuni au 'principle' zake, ukishindwa kucheza ndani ya hizo principle umekwisha 'kipopoma', vilio vingi vya mapenzi siku hizi watu tunajiendea tuu hatufuati 'principles' za association then matokeo yake ndio hayo.

Inahitaji akili kubwa sana na 'iliyotulia' kuelewa hiki nachozungumza hapa, bila kufuata 'principles' basi tutarajie majanga zaidi kuendelea kuripotiwa 'ITV', TBC, Clouds na kwingineko pia.

Kwa sisi wenye maarifa haya tunawashangaa tu mnaondelea kulia kila siku huku tukiburudika na mahaba 'ndindindi'

Kwenu studio
 
Tukapate tangazo kutoka kwa wadhamini wetu, halafu tutarudi kuangalia comment zenu, wapenzi watazamaji.
 
Tupo pamoja Genta, ni mimi tu na wewe tunaelewa hizi mambo na wengine wachache 😃
 
Au basi ngoja nikuqche ivo ivo...
 
Alijakupata.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…