Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Binafs Nadhani ni wanawake asilimia kubwa wako ivyo, Ukiwa Gentleman sana, mwanamke anakuchokaHii inaaply kwa wanawake wote au wako tu?
Nimecheka kwa sauti mkuuHii inaaply kwa wanawake wote au wako tu?
Sometimes Ukimboa mwanamke,Hizi ishu za kukaririshana hutuponza wengine, manaake unaweza kuingia kwenye mahusiano halafu ukaanza ku apply ushauri wa wana, haloo inakula kwako manaake wanawake hawafanani wengine wapo tofauti na unavyoelezewa kuhusu wanawake, jamani women are so different aisee japo wengine tabia zao hushabiana lakini sio wato wako hivyo
Very very true mkuuSometimes Ukimboa mwanamke,
Kisaikolojia unamtengenezea attention ya kukuhitaji wewe.
Na mwanaume ili uyafurahie mahusiano,
Mwanamke anapaswa akuhitaji wewe, zaidi ya wewe unavyomhitaji yeye.
Kabisa,Very very true mkuu
Duh! Mapenzi kama sanaa eeehWanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!
Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia
Hii inaaply kwa wanawake wote au wako tu?
Wanawake waopigwa sana ktk uhusiano ndio hufurahia mapenzi hayo kuliko wale wa kuchekewa kila siku..
Usemacho mtoa mada ni kweli kabisa
...ila wao wanahitaji pesa
Huwa inatokea wiki mzima kazi yangu ni kugoma tu kila nikirudi nyumbani mara hiki mara kile.
Sasa nikiamua wiki inayofuata kukaa kimya kumwangalia tu huwa ananiuliza kwa mahaba "Baby mbona umepoa ivyo" namjibu ni kawaida em njoo hapa nampatia haki yake anaridhika.
Hawa bila kuwagomea ni kweli wanaboreka wakati mwingine.
Binafs Nadhani ni wanawake asilimia kubwa wako ivyo, Ukiwa Gentleman sana, mwanamke anakuchoka