Mapenzi yanakawaida ya ku expire

Mapenzi yanakawaida ya ku expire

Kama hamna kipya kwenye mapenzi zaidi ya ngono, tanayeyuka chap, mapenz ya kutanguliza dudu huwa hayadumu muda mrefu kwani dudu hukinai, halafu hamna cha ziada.

Unatakiwa ujiulize; mbali na ngono ni nini kingine nafaidika nacho kwa huyu penzi wangu? Kama hamna ujue hayafiki mbali
 
Kujitunza/kukaa mbali/kuachana kabisa na mambo yote yanayohusiana na mapenzi(maneno mpaka vitendo).
Hiyo uwezi, labda kama imejiunga CHAPUTA, lakini ukiwa na akili timamu kabisa kabisa na afya tele ngumu
 
Mapenzi yadumu lazima kuwe na Kishika Mahusiano.

mfano:
Wote wachawi,
wote watumishi wa Mungu,
Udhaifu wenu uwe watoto,
Au udhaifu wenu uwe jamii watatuonaje tukiachana.

Mbali na hapo, mmoja akili ikicheza kidogo mnaachana.
 
Back
Top Bottom