Mapenzi yanakawaida ya ku expire

Mapenzi yanakawaida ya ku expire

Ukiona unateseka sana kwa ajili ya mtu huyo ndiye Mungu wako. Mpende Mungu wako kwanza binadamu hugeuka sana.
 
Kama hamna kipya kwenye mapenzi zaidi ya ngono, tanayeyuka chap, mapenz ya kutanguliza dudu huwa hayadumu muda mrefu kwani dudu hukinai, halafu hamna cha ziada.

Unatakiwa ujiulize; mbali na ngono ni nini kingine nafaidika nacho kwa huyu penzi wangu? Kama hamna ujue hayafiki mbali
Umeongea point ila jumbe inafurahisha
Siku hizi sinyoosheki kizembe, zamani ndo yalinitesa
Hahahaha ushakomaa
 
Back
Top Bottom