BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Naskia wanachama wote wa kike wa chama cha kujitunza kidole cha kati hakina kucha ndefu.Mapenzi yanawatesa sana vijana.
Karibuni kwenye chama cha kujitunza.
Kuna wakati mwingine unaweza kua kwenye mahusiano ila hujui ni mahusiano yanayohusiana na niniMapenzi yanakawaida ya ku expire, unaweza kumpenda mtu lakini kama tabia haivutii, moyoni anaanza kuyeyuka anakuwa hakushtui tena.
Kweli kabisa mkuu, kadri siku zinavyozidi kwenda mambo huzidi kubadilika na cha ajabu huwa yanabadilika kuwa machungu.Kadiri mnavyozoeana mambo yanazidi kupungua na kuharibika
Washakunyoosha sio πMi napita tu lakini wadogo zangu nawakumbusha tu hamna kitu kinachoitwa "Mapenzi ya kweli"
Siku hizi sinyoosheki kizembe, zamani ndo yalinitesaWashakunyoosha sio π
Zamani ulikuwepo, zamani ipi na ni juzi? πSiku hizi sinyoosheki kizembe, zamani ndo yalinitesa
Mi mkubwa wenu sheikh! Kipindi mi naanza harakati za Mapenzi vijana wengi humu mlikuwa kwenye karanga πZamani ulikuwepo, zamani ipi na ni juzi? π
Kwa sasa ili niteswe na mapenzi ni lazima niamue yanitese.
Umeongea point ila jumbe inafurahishaKama hamna kipya kwenye mapenzi zaidi ya ngono, tanayeyuka chap, mapenz ya kutanguliza dudu huwa hayadumu muda mrefu kwani dudu hukinai, halafu hamna cha ziada.
Unatakiwa ujiulize; mbali na ngono ni nini kingine nafaidika nacho kwa huyu penzi wangu? Kama hamna ujue hayafiki mbali
Hahahaha ushakomaaSiku hizi sinyoosheki kizembe, zamani ndo yalinitesa