Mapenzi yananifilisi

Mapenzi yananifilisi

Unanishauri nifanye nini?
kwakuwa ujanani nilikuwa kama wewe ila tofauti tu nilipenda big thrills na ma age go...,, nakushauri kijana, vunja mifupa angali meno bado ipo... tafuta hela zikutoshe kadiri uwezavyo... yaani kijana wewe tia hela, tia hela usiulize(natania tu)

kijana... unatakiwa uweke strict self discipline na mipaka kwako wewe mwenyewe. Be tough. ipende hela yako. nayo itakupenda. kuwa mjanja kijana.. unaonekana umelala mno hujachangamka wewe... hamuwasomi vijana wenzenu smart kama robert taicoon? kuwa mjanja bhana
 
Kula starehe, starehe ni hapa duniani tu, mbinguni hukumu.
 
Kula starehe, starehe ni hapa duniani tu, mbinguni hukumu.
sasa si umesema mapenzi yanakufilisi au? so ushauri ninaokupa ukipenda ni kuweka strict discipline kwenye pesa zako... kuhusu warembo kama unavyosema, uwe mjanja mjanja uwale kwa kutumia pesa kidogo mno.
 
Si unalo kwa inbox, liweke hapa kwa faida ya members
Mwaka wa kumi huu sijajenga ata kibanda cha kuku.....
bsg.jpg
 
Nimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.

Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.

Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.

Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.

Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.

Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.​
Nchi unahitaji miamba kama wewe . Kwenye miti wakiwepo wajenzi kama wewe nchi itaendelea Sana maana wadada warembo hawatajiuza Sana maana ma sponsor hampoi.
 
Nimefuatilia safari yako ya maisha kupitia hapa JF, all i can say you have alot of potential and what you are experiencing is just a stage in life...
Winners are those who conquered greed,fear and lust
 
Maisha hayaitaji usiriazi sana, kila chembe ya sekunde moja unatakiwa ufurahie maisha kama inawezekana, kwa sababu hutokuja kupata muda mwingine wa kuishi hayo maisha siku utakapoiacha hii dunia.

Ata ujibane vipi, sijui umiliki nini na nini, mwisho wa siku lazima uondoke, mbaya zaidi kama ulijinyima kuishi vizuri ukitegemea utaishi miaka 500; ishi kama wewe, usiishi ili kuwafurahisha jamii, mabosi zako n.k

Furahia maisha mkuu, muda ni sasa, miaka 50 inawezekana wote tuliomo humu tukawa tumefutika kwenye uso wa dunia.​
 
Back
Top Bottom