Mapenzi yananitatiza


Dorin,
Probably you are young and you call yourself an independent woman (if profiles can be read or deduced from your line of thinking). I can assure you there is more to love and life to a woman than why you independents think and i assure you with out taking them into consideration your advice can be so misleading and factually incorrect. Please dont jump to conclusions.

Some people prefer living ina partnership with no specific bondage. Surely love cant be expresed in one form only (marriage).
 

Huwa tunatembeleana mara kwa mara, na huwa nikienda dar nafikia kwake, lakini pia mdogo wangu naona muda umekuwa mrefu sana.
 
Kila swali lina jibu lake hapa duniani.

Pesa inatafutwa....Pesa? Tafuta
Kazi inatafutwa....Kazi? Tafuta
Kufunguliwa mlango....bisha hodi, au kengele what ever!
Bidhaa.....nunua.
Mavuno...panda.

n.k, n.k
Mume.....usifanye kosa la kutafuta mume!!!!!!!!!!!!!!!

Mume hatafutwi!!!!!!!Hapa ndiyo maana mabinti wazuri kama nyinyi mnapata shida mnafikiri.. uzuri wenu, kumpikia, kumfulia, kukubaliwa na ndugu, urembo...unasaidia. Hata kidogooo.

Kuolewa ni kipaji.....yaani mwenyezi Mungu lazima ahusike. Ndiyo maana mabinti wasiotegemewa kabisa wanagombewa kuolewa. Halafu tunaowaona wakali wanagombewa kuonjwa lakini siyo kuolewa!

Usifall ovyo muombe mwenyezi Mungu atakufungua macho ili ujue unaemtaka ni mume au mumiani. Acha kabisa kuwa desperate, utadata.

Waliofanikiwa kutafuta mume wakapata walikuja gundua baadaye hawakupata MUME BALI MUMIANI.
 

Aksante sana dorini, mpaka nimekuja hapa nami nimeona hamna kitu hila nilitaka ushauri kwanza, japo mambo ya mapenzi ni nafsi ya mtu hila hata ushauri unasaidia. Aksante sana.
 

Thanks Noname. I will try to find that book.
 

Aksante sana, hila mimi sitafuti wala sio kwamba namng'ang'ania anioe, hapana ni jambo limenikuta nikaona niwashirikishe na ninyi wenzangu, silazimishi kabisa kuolewa na huyu bwana na kupitia safu hii nimejifunza sana, ushauri wenu ni mzuri na nimefunguka macho sana maana unaweza kukaa na kitu moyoni peke yako kikakuumiza sana kama ambavyo mimi ninaumia na sasa nitajitahidi kumtoa akilini na kumwomba Mwenyezi Mungu anibariki kama ni wa kuolewa nitaolewa tu kwa ukweli silazimishi kabisa ndoa hila tu nilitaka maoni yenu wana jamii.
 
pleasure is Mine darling,,, all the best
 
Dorin,
Probably you are young and you call yourself an independent woman (if profiles can be read or deduced from your line of thinking). I can assure you there is more to love and life to a woman than why you independents think and i assure you with out taking them into consideration your advice can be so misleading and factually incorrect. Please don't jump to conclusions.

Some people prefer living in a partnership with no specific bondage. Surely love cant be expressed in one form only (marriage).

 
Aksante sana dorini, mpaka nimekuja hapa nami nimeona hamna kitu hila nilitaka ushauri kwanza, japo mambo ya mapenzi ni nafsi ya mtu hila hata ushauri unasaidia. Aksante sana.

I have a feeling this is a true story. pole sana my big sister yaani pole.
Ukipitia Thread kuanzia mwanzo. ushauri mkubwa ni kukaa nae Muongee.
Kulingana na maelezo yako ulisha kaa nae sana lakini anaonekana Haeleweki.
Am I wrong? I gues not.
Naomba nikuulize swali la mwisho.
Wazazi wa pande hizi mbili wanajua kuhusu mahusiano yenu? Sitaki unijibu mimi, Just answer your heart. Kama jibu ni hapana, As my last piece of advice Tell him you do to make it official to both your parents or relatives who can take responsibilities. Hilo likigomewa tena. dadaangu chukua hatua.
Kwa ushauri zaidi I will PM you.
I feel this as a very hurting story. I have my big sister alifanyie kama wewe umri ukasogea akaamua kujitafutia mtoto sasa ametulia anafanya mambo yake. I really wouldnt like the same to happen kwako. Enjoy The evening Dada.
 
I believe wewe ndo unataka kuwapotosha wanawake wenzako. Do you remember these words: marriage is the only war where you sleep with your enemy
Now i doubt if at all you would want your friend to enter marriage and sleep with an enemy wakati sasa hivi anakula shushu na amependwa kwa miaka mingi toka mtoto yuko primary anapendwa tu.

Unajua wanawake huwa ni adui wa wenzao na ndio maana hata female activists wengi ni wale ambao relationship ziliwashinda. (off topic but necessary here).



Unatupotosha!!! who did this research? na sample yake ilikua nchi gani? Tanzania? au Kenya? Africa? Let him re do the research
 


We omwana kamwe na chondechonde usifuate ya humu ukaenda kugombana na mwenzi wako ambaye mumeishi naye zaidi ya ten year kwa raha na kushiriki tendo la ndoa kwa amani na kuja hapa kusema umeanza kumtoa akilini.

Unaelimu gani kwanza wewe?kweli wewe ni mcha mungu au mpagani?unawezakuja hapa mtu amekutunzia mtoto wako wa kufikia kwa miaka kumi leo waja na hoja za kitoto kwa kudanganywa kuwa kula kona huyo hana mpango na wewe?

Shame on?

Kwa ni kuolewa nini au ndoa nini?yeye alishakuuliza huyo mwenye mtoto anyemtunza yuko wapi?kwa nini usijiulize kuwa yeye amegundua kwa wewe bado unamahusiano na huyo mzazi mwenza?mfano akikwambia kuwa ili nikuowe mpeleke huyo mtoto kwa baba yake utakuja hapa kusema kuwa nalivua pendo uliliea kwa miaka kumi.
Ndugu yangu dada yangu siyo kila usahauri ni wakufuata na ukiangalia sana kuna ushauri hapa unatolewa na akina dada au mama unajua tu kuwa huyu hata nyumba yake haikaliki kama ameolewa kwa hiyo kila wakati anatafuta wengine waliotulia nao waishi kama anavyoishi.
Chukua ushauri mzuri mbaya upige chini vinginevyo utapotea na huyo atakaekuja kwa gia ya kukuoa utamkoma wiki moja.

My take.Kuna mchangiaji mmoja amekushauri kwa kuwa huyo mumeo yupo Dar na wewe upo Mwanza anyway sijui unafnya kazi gani kama inweza pia kufanyia Dar kwa nini usiombe uhamisho ukaenda Dar ili pime hayo unayoysema kuwa atakupokea au atakupangia nyumba tofauti na hiyo unayofikia au lah.
Unataka ndoa ya namna gani?Ndoa kama ndoa au Selective Ndoa?Ya mkuu wa wilaya au ya Kanisani?kwa ya kanisani utatembea mpaka ukome kwa kuwa unamtoto wa mwanaume nyingine na hujatubu dhambi hiyo kwake.
 
wewe una mtoto wa form 3, yeye hana mke wala mtoto...!
je, hatamani kuwa na mtoto? kwa kipindi mnapokutana hamfanyi sex? au jamaa ana tatizo la uzazi anaipotezea?
 

Thanks for your note.
Samahani kakaangu ID yako inanifanya nikuogope kidogo.
 

we una fujo kweli leo mkuu,jamaa kakuta ngoma iko used ndio maana analegalega kuchukua jumla.
 
ndege mmoja aliye mkononi ni bora kuliko ndege mia walio porini.

usilazimishe ndoa, hata ukifanikiwa inaweza kuwa ndio mwisho wa hayo mapenzi unayoyaona kwa sasa na hatimaye unaweza kuishia kujuta.

wanandoa wengi tu hawana furaha na waume zao kama uliyo nayo wewe kwa mpenzi wako, tena wengine wamtelekewa na watoto na hawapati msaada wa matumizi wala ada ya shule, engine kila kukicha wanaugulia maumivu ya nyumba ndogo na hata wengine wamelazimika kukubali kuishi na nyumba ndogo side by side, na zote hizo ni ndoa , tena baadhi ni za kikristo na zimefungwa makanisani!

shaurianeni kwa upole juu ya uzuri wa ndoa iliyokamilika na muendelee na furaha yenu mliyonayo na kusomesha mtoto wenu kwa amani.

usiache kumshukuru Mungu kwa upendo wa sasa na msaada anaokupa ktk kumlea na kumsomesha mtoto japo si wake na pengine labda anamthamini zaidi ya baba yake wa damu

Sifa na utukufu apewe Bwana.
 
Mama njoo Dar.. Utajua na mengine kuliko kubaki ROCK CITY. Utajajuta bure.
 
Kwa kweli niko njia panda sielewi kabisaaaaaaaaaaa cha kufanya, maana nikifikiria maoni ya wengine naona labla ni kweli ananidanganya nikisoma haya yako naona kama ndio niko sawa sasa ngoja niendelee kumuomba Mwenyezi Mungu atanionyesha tu njia. Thank u very much. Be blessed.

shaurianeni kwa upole juu ya uzuri wa ndoa iliyokamilika na muendelee na furaha yenu mliyonayo na kusomesha mtoto wenu kwa amani.

usiache kumshukuru Mungu kwa upendo wa sasa na msaada anaokupa ktk kumlea na kumsomesha mtoto japo si wake na pengine labda anamthamini zaidi ya baba yake wa damu
 
we una fujo kweli leo mkuu,jamaa kakuta ngoma iko used ndio maana analegalega kuchukua jumla.

We nawe, kwani wangapi wamekutwa used na bado wakachukuliwa. Nilitaka ushauri sio kejeli.
 

shukuruni kwa kila jambo, maana hayo ni mapenzi ya Mungu............. zidisha upole na upendo maana kwa hayo ataamini u-mke mwema na hatakuacha. wala usizidishe sana suala la ndoa usije ukamuudhi kwa hilo. na ujitahidi ufurahie maisha bila wasiwasi wa kutoolewa kwani tayari Mungu ameishapanga saa na siku ndoa yako itakapofungwa.
 
Thanks for your note.
Samahani kakaangu ID yako inanifanya nikuogope kidogo.

Ila hata mimi hua nashawishika kukwambia ukitoa huo mwamvuli binti utapendeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…