Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!Nitakusetia mashavu yake kabisa mkuu!Umenikosha!zaa mtoto wako mwambie haya iyo mimba si yake.ili akuache kwa amani maana hakupendi hata kidogo
na kwanini umnganganie mtu jamani? wanaume waliisha au huuziki wewe?
mtu kakuambia hakutaki wewe unamganda kaa kupe,ona sasa.wanaume mbona wengi tu jamani? ushaniharibia siku wallah.ungekuwa karibu ningekuzaba kibao