Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Afadhali kawa muwazi kukuambia la moyoni.ila suala la kuwapenda nyote sawa sio sahihi,aamue moja.
 
Both team to score
 
Hahahaha akiidharau hii sentensi atapata tabu Sana "Naongeza with ekspiriensi"
 
Dogo nakuhakikishia kwa asilimia 98.99 usipokuwa makini you will regret forever.

Ushauri wangu achananae, badilisha marafiki, hama room unayoishi kama mnakaa karibu na sali Sana.

Hao wanakuigizia washakuona wewe ni fala wanawake wanaroho mbaya Sana na ni wabinafsi wa kutupwa.

Uwamuzi wowote tofauti na huu TUMEKUPOTEZA.
 
Omba ushauri namna ya kupunguza supplementary
 
Nimejaribu kumwambia tuachane

Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya
mmh hivi unaakili dogo.. wewe ndo unaempenda huyo dem,, yeye ana mtu wake ambae wametoana mbali.. hayo ni mapenzi ya chuo.. epuka sana kujiingiza kwa miguu yote,, hujamaliza chuo hilo ni moja,, huku mtaani hujajua unakuja kuanzaje.. kiufupi unasafari ndefu kama mwanaume... nachokushauri kama kaka yako "Punguza ukaribu taratibu, ipe akili yako uwezo wa kawaida wa kufikiri, mchunguze kwa makini" .
.
.
mwanamke ana jeuri gani ya kukwambia eti wanaume wawili wote amewahold... kha!! hii dunia inaenda kasi sana, mtakuja kuolewa na wanawake kwa mafungu kama nyanya!!
.
.
pole mdogo wangu, tumia akili na ujue wewe ni mwanaume, baba wa familia, kiumbe mwenye mamlaka, na zaidi msomi.
 
Shukrani bro
 
Nimejaribu kumwambia tuachane

Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya
Alivyokua analia alitoa machozi au alipiga tu kelele
 
Hata mimi nilipokuwa bado mdogo kama wewe nilikuwaga naamini kwamba msichana akilia machozi anamaanisha ndo anasema ukweli kwa asilimia zote kumbe...
Usikute ni wale ambao wana act kulia hawana hata tone la chozi... Wanawake wa kuishi nao kwa akili sana... Hapo gonga sepa
 
Kiukweli kwanza asilimia kubwa ya mademu wa chuo ni matapeli wa mapenzi.
Halafu huyo demu kukwambia kwamba huyo jamaa yake pia anampenda hiyo ni dharau iliyopitiliza na ni wazi wewe hakupendi ila yupo na ww tu kwasababu ya vitu flani. Achana nae tu maana ukiendelea nae utakuja tu kuumia mbeleni au kuwa nae tu kwa sex basi huku ukitafuta true love elsewhere.
Pia tambua mwanamke ni kiumbe ambae anaweza kulia kwa kitu cha uongo tu, so usipagawe na chozi lake.
 
Oya Mwanangu hivi wewe sio Nazaeli kweli wewe... achana na Angel ata kuuwa wee mtoto....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]
 
Mzee wa nje ya boksi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wewe mle tigotuu....aidha mpe hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…