Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Mkuuuu nilichojifunza kwako hujawahi mfikisha kileleni huyo binti.ndo maana anakujibu upuuzi huo
 
Kuna demu nilikuwa naye chuo ana mshkaji wake anajidai yeye anajua kupenda dunia nzima demu akaanza kubadilika ghafla kumbe ana kibendi siku tumemaliza UE faster akawahi kwa mshkaji wake wa home achape mbususu ili mpango wao wa kuoana uendelee na alifanikiwa kwa hilo.Ndugu vyuoni mademu karibu wote wana watu wao huko mikoani ila class kuna mwamba anayemsaidia akiwa na assigment lazima achape,kuna lecture anachapa,mtaani kwao walipopanga kuna wakati demu anafulia kuna mtu huwa anampiga tafu na zawadi yake ni mbususu lakini kuna mtu ana kausafiri na kumtoa out ndio anaipukuchua mbususu kukuzidi wewe,kwa ushauri jiandea kwa lolote.
 
[emoji23][emoji23]....mji mzito huu.

Mtu kama anajihisi ni mbovu kwenye mahusiano ni bora aache kabisa.

Watu wanakunywa sumu
 
Uyo umemfaham mmoja tena wa mkoa
Nipe namba yake uone ka atapona....vitot vya chuo sio guarantee piga tu..
 
Ana tako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…