Yangadamu
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 164
- 107
Hahari wana jamvi natumaini mko poah naomba Ushauri wenu kuna bint nilikuwa na mahusiano naye toka niko mkoa mwaka 2009 tuli tulikuwa na mahusiano sasa ilipofk mwaka 2010 niko fom two bro wangu alinipgia cm aniambia kuna kazi imepatikana dar vip htaweza nikutmie nauli uje nikamwambia naweza kaka hta kesho naweza kuja na nikwel bwana alinitmia nauli ya kuja dar nikaachana na shule kabsa nilipata mafanikio makubwa na huku nafanya mawasiliano na mpenzi wangu ilipofika mwaka 2015 nilienda mkoani kusalimia na nilipata mda mwingi wa kuongea na mpenzi wangu mambo mengi ya kuhsu maisha na mimi sikukaa sana nilimlz week mbili tu nikard zangu dar mpenzi wangu nikamuacha kijijini nimekuja dar nawasiliana naye baada ya miezi mitatu aliniambia anaujauzito wangu kweli nilifurahi sana japo siku siyo nyingi akajifungua mtoto wa kike na mimi huku natoa matumizi ya kutosha mda wote ilipofika mwaka 2017 maana mimi huwa naenda nyumbn kila baada ya miaka miwili kweli nilienda kumuona mtoto ni kweli kabsa copy yenyewe baada ya hapo mimi nird zangu dar kuendlea na kazi zangu na nafanya mawasiliano ilifk wakt mwezang hta nimekutmia sms hjibu na cm hapokei yaani kabadilika ghafra tu hta cjui nn shd wakt matumizi natoa kama kawaida saiz sasa nasikia kaja dar karb mwezi na nikwel kaja na yuko bagamoyo mbaya zaidi kawa dada poa nashindwa kabsa nifanye nn na yeye kama mama watoto wangu tiyr kashanilizia mtoto nipeni ushauri wenu kisha nitaufanyia kz