Mapenzi yanaua

Mapenzi yanaua

Yangadamu

Senior Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
164
Reaction score
107
Hahari wana jamvi natumaini mko poah naomba Ushauri wenu kuna bint nilikuwa na mahusiano naye toka niko mkoa mwaka 2009 tuli tulikuwa na mahusiano sasa ilipofk mwaka 2010 niko fom two bro wangu alinipgia cm aniambia kuna kazi imepatikana dar vip htaweza nikutmie nauli uje nikamwambia naweza kaka hta kesho naweza kuja na nikwel bwana alinitmia nauli ya kuja dar nikaachana na shule kabsa nilipata mafanikio makubwa na huku nafanya mawasiliano na mpenzi wangu ilipofika mwaka 2015 nilienda mkoani kusalimia na nilipata mda mwingi wa kuongea na mpenzi wangu mambo mengi ya kuhsu maisha na mimi sikukaa sana nilimlz week mbili tu nikard zangu dar mpenzi wangu nikamuacha kijijini nimekuja dar nawasiliana naye baada ya miezi mitatu aliniambia anaujauzito wangu kweli nilifurahi sana japo siku siyo nyingi akajifungua mtoto wa kike na mimi huku natoa matumizi ya kutosha mda wote ilipofika mwaka 2017 maana mimi huwa naenda nyumbn kila baada ya miaka miwili kweli nilienda kumuona mtoto ni kweli kabsa copy yenyewe baada ya hapo mimi nird zangu dar kuendlea na kazi zangu na nafanya mawasiliano ilifk wakt mwezang hta nimekutmia sms hjibu na cm hapokei yaani kabadilika ghafra tu hta cjui nn shd wakt matumizi natoa kama kawaida saiz sasa nasikia kaja dar karb mwezi na nikwel kaja na yuko bagamoyo mbaya zaidi kawa dada poa nashindwa kabsa nifanye nn na yeye kama mama watoto wangu tiyr kashanilizia mtoto nipeni ushauri wenu kisha nitaufanyia kz
 
Sasa mbona hatukuelewi!? Ndivyo wapenzi wanavyoishi hivyo? Unamwacha tu huko kijijini we upo mjini unaenda baada ya miaka miwili? Ni mzazi au Mdogo wako huyo? Unafikiri si anaona unamtumia tu maana hujamuoa? Hapo sio wa kwako peke yako hivyo huwezi kumcontrol ..
 
Hahari wana jamvi natumaini mko poah naomba Ushauri wenu kuna bint nilikuwa na mahusiano naye toka niko mkoa mwaka 2009 tuli tulikuwa na mahusiano sasa ilipofk mwaka 2010 niko fom two bro wangu alinipgia cm aniambia kuna kazi imepatikana dar vip htaweza nikutmie nauli uje nikamwambia naweza kaka hta kesho naweza kuja na nikwel bwana alinitmia nauli ya kuja dar nikaachana na shule kabsa nilipata mafanikio makubwa na huku nafanya mawasiliano na mpenzi wangu ilipofika mwaka 2015 nilienda mkoani kusalimia na nilipata mda mwingi wa kuongea na mpenzi wangu mambo mengi ya kuhsu maisha na mimi sikukaa sana nilimlz week mbili tu nikard zangu dar mpenzi wangu nikamuacha kijijini nimekuja dar nawasiliana naye baada ya miezi mitatu aliniambia anaujauzito wangu kweli nilifurahi sana japo siku siyo nyingi akajifungua mtoto wa kike na mimi huku natoa matumizi ya kutosha mda wote ilipofika mwaka 2017 maana mimi huwa naenda nyumbn kila baada ya miaka miwili kweli nilienda kumuona mtoto ni kweli kabsa copy yenyewe baada ya hapo mimi nird zangu dar kuendlea na kazi zangu na nafanya mawasiliano ilifk wakt mwezang hta nimekutmia sms hjibu na cm hapokei yaani kabadilika ghafra tu hta cjui nn shd wakt matumizi natoa kama kawaida saiz sasa nasikia kaja dar karb mwezi na nikwel kaja na yuko bagamoyo mbaya zaidi kawa dada poa nashindwa kabsa nifanye nn na yeye kama mama watoto wangu tiyr kashanilizia mtoto nipeni ushauri wenu kisha nitaufanyia kz
Hivi bagamoyo ni dar mkuu
 
Ww ndio umekosea make from 2009 to 2017 miaka 8 umemuacha mwenzio kijijini na mbaya zaidi umemzalisha lkn kuoa hutaki sasa umemfanya mwenzio mlezi wa mtoto make ameshindwa kukuelewa kaamua ajiongeze make kaona hapa hamna ndoa n uchumba sugu tu so hapo ww hizo stress umezisababisha mwenywe bro sio poa miaka yote hyo umuache mwenzio kijijini na yy amekuja ajue nn kipo dar ambapo ww umeng'ang'ana miaka yote hyo, make sijaona kweny maelezo yako mahali umezungumzia swala la ndoa means huyo ulimfanya kiwanda cha uzalishaji na kulea basi ssa na yye kajiongeza so ngoma droo
 
Ulipokuwa mkoani ulikwa mwanae, ila umeenda Dar ukawa mwanaume wa Dar.
 
Pole sana...

Labda unachompatia hamkimtoshi na kwa tamaa zake ndiyo ameamua kua dada poa...

Ujue tu tabia ya mtu haijengwi siku moja, huyo hajaamua kua dada poa, ila ndiyo tabia yake ya kua dada poa...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom