Muendesha katapila
Member
- Jun 16, 2026
- 26
- 58
Wanazengo naombeni msaada, huyo kwenye picha ndo Khadija wangu nampendaaa sana, huyu Binti ndo kila kitu kwenye maisha yangu,
Tangu ameniacha mara kadhaa nimejaribu kujfanya kila namna ili nimsahau nashindwa inauma sana,hapa TU sijaenda kazini na mchina anataka kunisimamisha kazi ,sababu ya mapenzi naumia mie 😭😭😭😭.
Mbona nilimpa kila pesa mpaka nusu yamshahara wangu million 3 kila mwezi ili utunze tuje tuwe na maisha yetu mazuri,Bado ukanambia wewe,bikira mnyamwezi nikavumilia Leo umenikimbia umerudi mkoani kwa mchumba wako kumbe ulikuwa na mchumba,mie nimechokaa kutwa nalia mie ntakufaa moyo unaumaa dah Rudi rudiiie kama Kuna makosa nisamehee😭😭😭😭