Mapenzi yanauma

Mapenzi yanauma

Usiombe umpende mtu haswa halafu yeye akuoneshe dharau asiwe na upendo nawewe asee

Dunia utaiona chungu
ikiwa una ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya mapenzi, mahusiano, uchumba na ndoa, huwezi sumbuka wala kubabaika na kutetereka saaana, ikitokea changamoto. Muhimu zaidi uwe na cha kufanya cha uhakika, cha kusongesha maisha 🐒
 
Pole sana, lakini kumbuka hayo umeyataka wewe jua tu kuwa hakuna mtu anayeweza kukuumiza kihisia kama wewe binafsi hujaruhusu Hilo, ww ndo umeruhusu Hilo litokee.
 
Back
Top Bottom