Mapenzi yanaumiza sana

Kama unataka kuondokana na maumivu ya mapenzi kuachwa au kupenda usikopendwa nawashauri muanze KUBET.nakuhakikishia huku ni kama umeingia dunia nyingine kabsa.kule mda wote akili imewaka .

WAZEE WENZANGU WA KUWEKA MZIGO[emoji1][emoji1]
 
Sikuwahi kujua Kama mtu unaweza kukonda ndani ya masaa 24 mpaka siku niliyojifanya najua kupenda🀣🀣🀣,Sasa hivi nipo zangu nakunywa uji wa lishe nimewaachia wajuzi uwanja dah ni balaa Sana
 
Unaweza elezea yanaumiza kwenye nini mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kubet si ndo aina nyingine ya madawa ya kulevya!!au mimi ndo sielewi
 
Sikuwahi kujua Kama mtu unaweza kukonda ndani ya masaa 24 mpaka siku niliyojifanya najua kupenda🀣🀣🀣,Sasa hivi nipo zangu nakunywa uji wa lishe nimewaachia wajuzi uwanja dah ni balaa Sana
Pole sana aiseh...
Vipi unga wa lishe ukiisha utasaga mwingine au utaendelea na mapenzi
 
Unaweza elezea yanaumiza kwenye nini mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanaanzia kwenye nyayo,yanapanda taratibu hayoooo mpka pale kifuani ambako tunapowekaga mkono tukiwa tunaimba Mungu ibariki Tanzania 🎡🎡
Yakivuka kwanzia kwenye shingo mpka kichwani,ndo yale majina ya ndugu mwendawazimu/mwehu/kichaa yanapoanzia
 
Nimekuambia, utulie hivyo hivyo. Mbona mambo yatakaa sawa tu. Ukishindwa niambie mkuu[emoji23][emoji23]
 
Sasa nimekuelewa😊😊
Ninakaa kwa utulivu kabisa Eli.au nishindwe halafu nikwambie!!πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…