Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kweli tena, Wala usingelata wazo la kuliongeleaWacha bhana 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tena, Wala usingelata wazo la kuliongeleaWacha bhana 😁😁
Yaani unaanzaje kulizungumzia Jambo ambalo hujawahi liexperience, tena kwa hisiaAnakimbia kivuli chake
😀Weee...
Yeah,adimu kiaina....mambo yamekuwa mengi siku hiziNi shega dia J
Umekuwa adimu kiaina
Polee hope umeingia utuuzima sasaSikuwahi kujua Kama mtu unaweza kukonda ndani ya masaa 24 mpaka siku niliyojifanya najua kupenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Sasa hivi nipo zangu nakunywa uji wa lishe nimewaachia wajuzi uwanja dah ni balaa Sana
Hivi kubet si ndo aina nyingine ya madawa ya kulevya!!au mimi ndo sielewiKama unataka kuondokana na maumivu ya mapenzi kuachwa au kupenda usikopendwa nawashauri muanze KUBET.nakuhakikishia huku ni kama umeingia dunia nyingine kabsa.kule mda wote akili imewaka .
WAZEE WENZANGU WA KUWEKA MZIGO[emoji1][emoji1]
Pole sana aiseh...Sikuwahi kujua Kama mtu unaweza kukonda ndani ya masaa 24 mpaka siku niliyojifanya najua kupenda🤣🤣🤣,Sasa hivi nipo zangu nakunywa uji wa lishe nimewaachia wajuzi uwanja dah ni balaa Sana
Yanaanzia kwenye nyayo,yanapanda taratibu hayoooo mpka pale kifuani ambako tunapowekaga mkono tukiwa tunaimba Mungu ibariki Tanzania 🎵🎵Unaweza elezea yanaumiza kwenye nini mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuambia, utulie hivyo hivyo. Mbona mambo yatakaa sawa tu. Ukishindwa niambie mkuu[emoji23][emoji23]Yanaanzia kwenye nyayo,yanapanda taratibu hayoooo mpka pale kifuani ambako tunapowekaga mkono tukiwa tunaimba Mungu ibariki Tanzania [emoji444][emoji444]
Yakivuka kwanzia kwenye shingo mpka kichwani,ndo yale majina ya ndugu mwendawazimu/mwehu/kichaa yanapoanzia