Mapenzi yanaumiza sana

Hivi kuna watu wanaumia na mapenzi!?[emoji848] Nyinyi mabwege mnakosea waapi!!!!?[emoji23][emoji23]
 
Ulinikataa sasa nimeisha oa zangu afu ndiyo hivyo umezeeka tayari... [emoji23][emoji23][emoji23]
Big we chizi ujue 🤣🤣🤣🤣eheee bhana nimeshazeeka tayari.najuta kukukataa jamani🤪🤪🤪
 
Wewe...hujawahi kufua nguo ukajaza kamba halafu ile unamaliza kuanika tu kamba inakatika
 
Kwani wewe unaishi dunia gani kipenzi.

Miss you more
Naishi dunia hii, ila mapenzi naona ni kitu cha kawaida sana tena mno, na hayajawahi kuniathiri kwa chochote. Hebu achana na mapenzi fanya mambo mengine.
Kuna maisha nje ya mapenzi,
Miss u moaaaah
 
Hivi yanaumaje yaani[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wewe...hujawahi kufua nguo ukajaza kamba halafu ile unamaliza kuanika tu kamba inakatika
Ulipotea sana khantwe..Mzima lakini.

Kuna siku hicho kisanga kilinikuta nikaishia kuitukana kamba nikaenda zangu kusuuza nguo maisha yakaendelea
 
Naishi dunia hii, ila mapenzi naona ni kitu cha kawaida sana tena mno, na hayajawahi kuniathiri kwa chochote. Hebu achana na mapenzi fanya mambo mengine.
Kuna maisha nje ya mapenzi,
Miss u moaaaah
Weee usiniambie bhana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…