Mapenzi yanaumiza sana

Maumivu yake hayaelezeki kama uchungu wa uzazi [emoji1787]
Uchungu wa uzazi unaisha unapopata katoto ukikatizama unatabasamu, sasa mapenzi kovu lisilo isha labda uwe na akili nusu utapuuzia!
 
Tena nyie yanawaumizaga kikuda kishenzy yan hata usiongee
[emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi makaveli mimi, makaveli huyu huyu..

Labda mama yangu mzazi anikasirikie, hapo roho inakuwa juu juu..

Sio mtoto wa mtu tumekutana tu duniani, yeye sio pekee yake ulimwenguni kusema baada yake hakuna mwingine tena..

Sijui, sijui.. Kama itakuja kutokea labda

Na kwa hapa nilipofikia, mtoni, namtukana mamba vizuri tu.. Na mto nauvuka kibabe[emoji13][emoji23]
 
Ulipotea sana khantwe..Mzima lakini.

Kuna siku hicho kisanga kilinikuta nikaishia kuitukana kamba nikaenda zangu kusuuza nguo maisha yakaendelea
Mie mzima wa afya
Hiyo kitu inauma sana isee
 
Uchungu wa uzazi unaisha unapopata katoto ukikatizama unatabasamu, sasa mapenzi kovu lisilo isha labda uwe na akili nusu utapuuzia!
Basi maumivu ya mapenzi hayajawahi kuelezeka aise
 
Acha fiksi basi kijana
 
Afu we jamaa bhana kwa kupenda msererekoo😀😀kwahiyo unataka ulalie mulemule 🤪🤪🤪hatari sana sheikh

Nishaachana na mapenzi nafanya vitu vingine
Kheeeh... Jaman unakaid agizo la Mungu tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…