Mapenzi yanaumiza sana

Ulimuumiza au alikuumiza
Kilichotokea nilimuacha lakini katika hatua za kuchanganya akili na kuwaza niliko sasa hakufai maana nilimuacha bila sababu ya msingi.... Sasa hivi ndio nahisi, She was the best among millions
 
Kama hajaolewa unaweza kumrudia

Sikupi pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…