Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Wewe huyu huyu au mwingine
Ni mimi uyo nmebadilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huyu huyu au mwingine
My dear acha tu bado nipo kwenye pain🙄Pole sana Fina.kwani na wewe yanakuumizaga??
Hivi Kuna anaenizidi kweli.. we jichanganye umlete kesi itakuja kwako..🤣Wewe dawa yako nikutafutie shemeji anaevuta petrol akili ikukae sawa
Kilichotokea nilimuacha lakini katika hatua za kuchanganya akili na kuwaza niliko sasa hakufai maana nilimuacha bila sababu ya msingi.... Sasa hivi ndio nahisi, She was the best among millionsUlimuumiza au alikuumiza
Sasa huyo anaumia na mapenzi kitu kidogo hvyo..siku bia yake ikimwagika maumivu yake si anaweza jidhuruNauona ule mlipuko wa fukushima anko Mangi.utaniulia rafiki
Tunapishana tuKwani mimi ni traffic light Chief.
Uko poa lkni??umekuwa adimu
Kama hajaolewa unaweza kumrudiaKilichotokea nilimuacha lakini katika hatua za kuchanganya akili na kuwaza niliko sasa hakufai maana nilimuacha bila sababu ya msingi.... Sasa hivi ndio nahisi, She was the best among millions
Ok missOhooo oky
Sawa dada nasubiri hiyo dawa niichanganye na mizimu ya kwetu..🤣We dawa yako inachemka
Mkiambiwa mje peponi hamtaki, aya kaa motoni huko usilie lie 😅😅😅Acha kelele basta
Thank you darling😍Ohooo maskini pole fina..jipe time utakaa sawa mama